Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Mambo makubwa ni uzinduzi wa maji.?Yaani unataka rais aongelee panya road? Waziri Masauni anatosha. Rais anaongelea mambo makubwa mfano nchi ilivamiwa na nchi iirani kama vile Ukraine ilivyovamiwa na Urusi.
Wajibu mkuuMambo makubwa ni uzinduzi wa maji.?
Mkuu mbona una hasira Sana na mama? Kakukosea nn mama wa watu?Mambo makubwa ni uzinduzi wa maji.?
Em nambie mambo makubwa ambayo rais anatakiwa kuyaongeleaMkuu mbona una hasira Sana na mama? Kakukosea nn mama wa watu?
kila mtu ana freedom of speech , kama unaumia sanaaaa, Si lazma u comment huu uzi.SEPAHii lugha uliyoitumia, ni kukosa busara ja ustaarabu. Sijawahi kuwa chawa wa Samia wala CCM, ila nathubutu kusema kuwa, huenda wewe huna akili ya kukuwezesha kuwa compatible katika jamii.
Rais Samia hata kama akafanya makosa, bado si sahihi na ni kukosa hekima, kumwambia eti, 'HANA AKILI ya kuongoza'
kwahiyo kama hana akili ya kuongoza unataka watu wasiseme ukweli?hizi tabia za kinafiki za kuficha ficha mambo na ku sugar coat mambo ya msingi yanayoisumbua jamii ndio zimepelekea hii nchi kuwa imefeli mpaka sasa!!!Hii lugha uliyoitumia, ni kukosa busara ja ustaarabu. Sijawahi kuwa chawa wa Samia wala CCM, ila nathubutu kusema kuwa, huenda wewe huna akili ya kukuwezesha kuwa compatible katika jamii.
Rais Samia hata kama akafanya makosa, bado si sahihi na ni kukosa hekima, kumwambia eti, 'HANA AKILI ya kuongoza'
We unaongozwa na Chuki za kidini na jisiaSikuwahi kuwaza yupo hivi, ni Rais asiyesikia anayeongozwa ongozwa tu ambaye haeleweki
Anajuwa kabisa kuwa asilimia 98 ya watanzania hawataki tozo ukiachana na hiyo asilimia 2% ya machawa wake na vikundi vya mapambio vinavyolipwa kutetea tozo
Lakini bado hajali, huyu mama ana kiburi sana, anafahamu fika kuwa hizi tozo zinawaumiza watanganyika sana sana, lakini hajali maana waumiao sio wenziwe.
Ule wembe tulomnyolea mtangulizi wake tutaendelea kumnyoa akiendelea na hii kiburi yake, ni kichaa tu anayeweza kuunga mkono tozo, itampasa Mwanaume kuwa kama "chachi" ndo aunge mkono tozo maana ni jambo ambalo haliungiki mkono
Ndipo nagunduwa ana kiburi sana huyu mama ukimuona nje na muonekano wake wa rohoni ni tofauti kabisa, hana sifa za kuwa kiongozi, huyu bibi hatufai kabisa.
Lakini nakwambieni asifikiri tutamchekea, tutaendelea kumkomalia hadi hii jeuri,ngendembwe, tambo na kiburi chake kimkwishe.
Mngejua na akili japo inayojaa kwenye kisoda ya kujua ugumu wa kipindi anachoongoza huyu mama mngeenda kumuomba radhi mara 70. Unapokea nchi ambayo investors confidence imekufa, watu biashara zao zimefilisiwa, mitaji yao imeporwa. Nasema tena vichwa vya watanzania wengi ni empty set kabisa.Tatizo la huyo bibi ni kiburi Wananchi wanalalamikia mengi ameweka pamba masikioni.Tatizo lilianza alipoanza kumnanga aliyekuwa Boss wake mwendazake akidhani Urais ni lelemama leo yuko kimya na aibu kama zote,kateua wahuni akina Nape,January na Mwigulu wanamwingiza kingi kila kitu kinakwenda ovyo wananchi waliowengi hawamwelewi isipokuwa walamba asali wachache akina Shaka,Kinana,Zitto nk. Tujipe muda sauti ya wananchi ni Sauti ya Mungu na rais wetu haisikii kabisa
Kumsema vibaya JPM itamfanya arekebishe palipokosewa na awamu ya tano.?Mngejua na akili japo inayojaa kwenye kisoda ya kujua ugumu wa kipindi anachoongoza huyu mama mngeenda kumuomba radhi mara 70. Unapokea nchi ambayo investors confidence imekufa, watu biashara zao zimefilisiwa, mitaji yao imeporwa. Nasema tena vichwa vya watanzania wengi ni empty set kabisa.
Andika vizuri kwanza ueleweke unataka kusema nini!Kumsema vibaya JPM itamfanya arekebishe palipokosewa na awamu ya tano.?
Umeelewa ila unakaza hilo fuvuAndika vizuri kwanza ueleweke unataka kusema nini!
😆Umeelewa ila unakaza hilo fuvu