Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Yaani unataka rais aongelee panya road? Waziri Masauni anatosha. Rais anaongelea mambo makubwa mfano nchi ilivamiwa na nchi iirani kama vile Ukraine ilivyovamiwa na Urusi.
Mambo makubwa ni uzinduzi wa maji.?
 
Mkuu kimsboy , bila kuingilia your freedom of expression, heshima ni kitu cha bure, ukikosoa kosoa with facts na sio kwa blanket statements, unaweza kutufafanulia akili ya kuongoza nchi ikoje?. Kwa sisi wengine wetu, tunamuona akili za huyu Mama ni zaidi ya wenye Ph.D na hili amelithibitisha kwa mawazo, kauli, maneno na vitendo Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!
Kama ulikuwa hujui, basi ujue Samia Mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa Hili, Atabarikiwa!, Taifa Litabarikiwa!. Asante Mungu kwa Samia, Mungu Mbariki Samia, Mungu Ibariki Tanzania
P
 
Hii lugha uliyoitumia, ni kukosa busara ja ustaarabu. Sijawahi kuwa chawa wa Samia wala CCM, ila nathubutu kusema kuwa, huenda wewe huna akili ya kukuwezesha kuwa compatible katika jamii.

Rais Samia hata kama akafanya makosa, bado si sahihi na ni kukosa hekima, kumwambia eti, 'HANA AKILI ya kuongoza'
 
kila mtu ana freedom of speech , kama unaumia sanaaaa, Si lazma u comment huu uzi.SEPA
 
Hii lugha uliyoitumia, ni kukosa busara ja ustaarabu. Sijawahi kuwa chawa wa Samia wala CCM, ila nathubutu kusema kuwa, huenda wewe huna akili ya kukuwezesha kuwa compatible katika jamii.

Rais Samia hata kama akafanya makosa, bado si sahihi na ni kukosa hekima, kumwambia eti, 'HANA AKILI ya kuongoza'
kwahiyo kama hana akili ya kuongoza unataka watu wasiseme ukweli?hizi tabia za kinafiki za kuficha ficha mambo na ku sugar coat mambo ya msingi yanayoisumbua jamii ndio zimepelekea hii nchi kuwa imefeli mpaka sasa!!!
 
Tatizo la huyo bibi ni kiburi Wananchi wanalalamikia mengi ameweka pamba masikioni.Tatizo lilianza alipoanza kumnanga aliyekuwa Boss wake mwendazake akidhani Urais ni lelemama leo yuko kimya na aibu kama zote,kateua wahuni akina Nape,January na Mwigulu wanamwingiza kingi kila kitu kinakwenda ovyo wananchi waliowengi hawamwelewi isipokuwa walamba asali wachache akina Shaka,Kinana,Zitto nk. Tujipe muda sauti ya wananchi ni Sauti ya Mungu na rais wetu haisikii kabisa
 
Sikuwahi kuwaza yupo hivi, ni Rais asiyesikia anayeongozwa ongozwa tu ambaye haeleweki

Anajuwa kabisa kuwa asilimia 98 ya watanzania hawataki tozo ukiachana na hiyo asilimia 2% ya machawa wake na vikundi vya mapambio vinavyolipwa kutetea tozo

Lakini bado hajali, huyu mama ana kiburi sana, anafahamu fika kuwa hizi tozo zinawaumiza watanganyika sana sana, lakini hajali maana waumiao sio wenziwe.

Ule wembe tulomnyolea mtangulizi wake tutaendelea kumnyoa akiendelea na hii kiburi yake, ni kichaa tu anayeweza kuunga mkono tozo, itampasa Mwanaume kuwa kama "chachi" ndo aunge mkono tozo maana ni jambo ambalo haliungiki mkono

Ndipo nagunduwa ana kiburi sana huyu mama ukimuona nje na muonekano wake wa rohoni ni tofauti kabisa, hana sifa za kuwa kiongozi, huyu bibi hatufai kabisa.

Lakini nakwambieni asifikiri tutamchekea, tutaendelea kumkomalia hadi hii jeuri,ngendembwe, tambo na kiburi chake kimkwishe.
We unaongozwa na Chuki za kidini na jisia
 
Tatizo la huyo bibi ni kiburi Wananchi wanalalamikia mengi ameweka pamba masikioni.Tatizo lilianza alipoanza kumnanga aliyekuwa Boss wake mwendazake akidhani Urais ni lelemama leo yuko kimya na aibu kama zote,kateua wahuni akina Nape,January na Mwigulu wanamwingiza kingi kila kitu kinakwenda ovyo wananchi waliowengi hawamwelewi isipokuwa walamba asali wachache akina Shaka,Kinana,Zitto nk. Tujipe muda sauti ya wananchi ni Sauti ya Mungu na rais wetu haisikii kabisa
Mngejua na akili japo inayojaa kwenye kisoda ya kujua ugumu wa kipindi anachoongoza huyu mama mngeenda kumuomba radhi mara 70. Unapokea nchi ambayo investors confidence imekufa, watu biashara zao zimefilisiwa, mitaji yao imeporwa. Nasema tena vichwa vya watanzania wengi ni empty set kabisa.
 
Kumsema vibaya JPM itamfanya arekebishe palipokosewa na awamu ya tano.?
 
Hivi huyu Mhe. Mama yetu ana maamuzi anafanya kweli... Sio kwamba akiamka anajiona ni rais... Anaenda kuzurura hapa na pale na kufanyiwa kila kitu na wasaidizi wake...

Kiasi kwamba kadiri siku zinakwenda kila kitu kinazidi kuharibika...

Afya hovyo...
Elimu hovyo...
Maji sasa hivi kukaa wiki bila maji ni jambo la kawaida...
Umeme ndio kabisa...

UFISADI, WIZI, DHULMA, RUSHWA, MAUAJI YAMEKITHIRI MARA DUFU KUZIDI ZAMA ZA MZEE WHITE...

Kodi kodi kodi kila siku mpya badili majina tu.. Ili mradi kujihakikishia pesa rahisi rahisi...

Mikopo kila siku kuzunguka mikopo...

Bei ya bidhaa muhimu kila siku inapanda..

UNAJIULIZA WEWE KAMA RAIS... NAFASI YAKO MAMLAKA YAKO KAMA RAIS KUFANYA MAAMUZI YA KIRAISI KUTATUA CHANGAMOTO UNAYATUMIA KWELI...

WHAT ARE YOU REALLY DOING IN THE OFFICE?
 
Back
Top Bottom