Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kuna picha hapo naomba ipeleke kule jukwaa la special.. warembo
 
Naskia kwa elimu na taaluma ana certificate ya ukarani
Samia ni masters holder na ana uwezo wa akili na kupambanua mambo ikiwemo kujieleza vizuri kwa lugha ya malkia kuliko muhuni mmoja anaitwa jiwe ambaye hakuwa anajuwa hata kujieleza kiufasaha kwa lugha ya kiingereza pamoja na kuwa na phd
 
Inashangaza kuwa wewe ndiyo unajua leo hilo...

Huyo yupo hapo kwa sababu ya katiba tu kusema;

"...Rais akifa akiwa madarakani, makamu wake anaapishwa kuwa Rais mahala pake.."

Lakini ni ukweli usiopingika kuwa, huyu mama hastahili kuwepo kwenye nafasi hiyo...

In addition to that, hakuna mwana CCM tena afaaye kuwa Rais wa nchi hii kama ambavyo CCM yenyewe kwa ujumla isivyofaa...!;
 
Mpaka unaamua kutukana ni dhahiri Huna hoja. Kalale
Alaa, kuna sehemu nimekutukana? Nimekwambia ukweli wa ulivyo. Umenilazimisha niseme Rais Samia atatawala hadi 2030 ili hali sijaandika kupinga suala hilo, rudia post ya kwanza(uliyoninukuu) hadi hii uone kama nilisema Rais Samia hatafika 2030 akiwa Rais. Kama nimeandika hatakuwa Rais hadi 2030, basi utakuwa jiniazi la Tz nzima, kama sikuandika basi jua ya kuwa wewe ni mwenyekiti wa machawa Tanzania.
 
Mimi nimependa Ile swimming pool,vipi Ile picha ilipigwa Mchambawima au Kijito upele?🤣🤣🤣
Alafu uku Mwanza vituo vingi vya Polisi kawaleta Wazanzibar wenzake ndiyo wakuu wa vituo,kwa mfano Kituao cha Polisi Morongo na JWTZ pia.Bibi hajiamini kabisa yaani.
Ila JW wanatuangusha sana basi labda tusubiri Masii aingilie Kati, vinginevyo twafwa!!
 
Inabidi huko mwanza lifunguliwe tawi la mirembe inaonekana machizi mpo wengi sana
 
Tafuta tiba tu ndugu. Msongo wa mawazo au depression ni ugonjwa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…