Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ujinga mtupu .Magufuli is dead, dead for good
Like it or not, Samia ndiye rais na ni bora 100 times kuliko magufuli
Kuna sehemu mleta mada kawalinganisha Magufuli ma Samia? Hivi mbona mnamuwaza sana JPM hata ambapo hahusiki au ndo ilmradi na wewe uonekane tu umo?Magufuli is dead, dead for good
Like it or not, Samia ndiye rais na ni bora 100 times kuliko magufuli
Boss hiyo export ni 2021-2022, ambapo Kenya na Uganda walikuwa na lock down, Magufuli alikataa lockdown na shughuli za kilimo na uzalishaji ziliendelea , hivyo Tanzania tukawa na uzalishaji mkubwa , Kenya njaa ime wapiga wakafungua mipaka, tayari Tanzania ikiwa na uzalishaji ikaanza kuuwauzia mazao, hapo Tanzania export ilipo overtake Kenya na Uganda katika mayaifa yao.Huo ugarasa wake ndo umefanya kwa mara ya kwanza tangu uhuru Tanzania tumeongoza kuuza bidhaa Kenya na Uganda kuliko wao walivyouza kwetu. Kweli kama hiyo ndo maana ya ugarasa basi hakuna kama Samia
Ni tutusa kabisa.Sio tu urais Bali hafai hata kuwa mtendaji wa kijiji.Elimu ndogo, Akili ndogo, Uwezo mdogo, Kwa kifupi ni hajielewi wala hajui anafanya nini pale ikulu, ni zobazoba inshort ni Mjinga.
Ukiamua kutrace background yake kwenye swala la elimu huwezi kuambulia kitu, yani imefichwafichwa hata haieleweki kabisa. Yule hata shule haimo kichwani ndiomaana anapelekwa hovyo na akina Mwingulu, atasgauriana nao nini hajui kitu?Naskia kwa elimu na taaluma ana certificate ya ukarani
Masters holder? Aliipata kutoka chuo gani?Samia ni masters holder na ana uwezo wa akili na kupambanua mambo ikiwemo kujieleza vizuri kwa lugha ya malkia kuliko muhuni mmoja anaitwa jiwe ambaye hakuwa anajuwa hata kujieleza kiufasaha kwa lugha ya kiingereza pamoja na kuwa na phd
Ila siasa zinaweza kukufanya utokwe na akili kabisa, kwahiyo tukubali tu kuwa uwezo anao kwakua yupo pale? Pale amefikaje, kwa uwezo au ngekewa tu?Kama hujakataa basi kubali Samia ndo Rais na uwezo anao ndo mana yupo pale
Unaleta points kama za kitoto cha form one kwenye Civics, hakuna kitu huyo mama yenu.Vingi sana sasa tumepata masoko ya nyama uarabuni, tumepata soko la parachichi China na South Afrika. Hayo ni machache tu ambayo hao marais 5 hawakuwahi kufanikisha
Huyo alikuwa msambaza chai tu kwenye maofisi ya wakubwa, kupenya kwenye siasa ilikuwa ni hongo.ana masters ya kitu gani? Ameisoma wapi na lini? Amewahi kufanya kazi gani ya kitaaluma ukiacha ukarani, kusambaza chai maofisini?
Yaani akiachia ngazi 2025 atakua kalitendea taifa jambo jema sana. kiitikadi sio mjamaa wala sio mwanamapinduzi. Hastahili kuongoza chama cha mapinduzi.
Wabinafsi wanamzonga na sera ya PPP huku lengo lao kuiba uwekezaji wa umma. Yaani serikali iwekeze na wao huku wanawekeza hewa kama wale wahuni wa simon group and then wavune toka investments za umma.
Inanibidi, kwa sababu ya mada hii pekee, na kwa bandiko hili pekee, leo niwe upande wake.Back to my point. Bibi hana sifa za kua rais nisikuchoshe fuatana na mimi:
Sasa alipataje kuwa vice president?Naskia kwa elimu na taaluma ana certificate ya ukarani
Umenikumbusha mradi wa DEGE wa NSSF na washirika wao AZIMIO kule Kigamboni.Wabinafsi wanamzonga na sera ya PPP huku lengo lao kuiba uwekezaji wa umma. Yaani serikali iwekeze na wao huku wanawekeza hewa kama wale wahuni wa simon group and then wavune toka investments za umma.
Kipindi cha nyerere Tanzania ilikua major exporter wa sisal dunianiVingi sana sasa tumepata masoko ya nyama uarabuni, tumepata soko la parachichi China na South Afrika. Hayo ni machache tu ambayo hao marais 5 hawakuwahi kufanikisha
That is true , ndo maana anawataka kuwalipa weznake waliogushi vyeti iliwafananeUkiamua kutrace background yake kwenye swala la elimu huwezi kuambulia kitu, yani imefichwafichwa hata haieleweki kabisa. Yule hata shule haimo kichwani ndiomaana anapelekwa hovyo na akina Mwingulu, atasgauriana nao nini hajui kitu?