Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Magufuli is dead, dead for good
Like it or not, Samia ndiye rais na ni bora 100 times kuliko magufuli
Kuna sehemu mleta mada kawalinganisha Magufuli ma Samia? Hivi mbona mnamuwaza sana JPM hata ambapo hahusiki au ndo ilmradi na wewe uonekane tu umo?

Mafukara ni watu wa ajabu sana.
 
Najaribu kuwaza, hivi sisi kama wananchi tufanyeje lamda ili bidhaa na vyakula angalao vishuke bei. Hapa namaanisha sisi wananchi wenyewe na sio viongozi. Tujitetee wenyewe huenda ikasaidia.
 
Nisiwe mnafiki, huyu bibi sisi kama taifa tumepigwa na kitu kizito mno. Amalizie miaka yake iliyosalia akalee wajukuu
 
Huo ugarasa wake ndo umefanya kwa mara ya kwanza tangu uhuru Tanzania tumeongoza kuuza bidhaa Kenya na Uganda kuliko wao walivyouza kwetu. Kweli kama hiyo ndo maana ya ugarasa basi hakuna kama Samia
Boss hiyo export ni 2021-2022, ambapo Kenya na Uganda walikuwa na lock down, Magufuli alikataa lockdown na shughuli za kilimo na uzalishaji ziliendelea , hivyo Tanzania tukawa na uzalishaji mkubwa , Kenya njaa ime wapiga wakafungua mipaka, tayari Tanzania ikiwa na uzalishaji ikaanza kuuwauzia mazao, hapo Tanzania export ilipo overtake Kenya na Uganda katika mayaifa yao.

Samia hadi sasa hivi ana tembelea maono ya mtangulizi wake na miradi alioacha, yeye Hana directions yeyote zaidi ya kuzuga zuga tu.

Alicho kianzisha Samia ni kukopa trillions Kwa ajiri ya chanjo za COVID ambapo hafi sasa hakuna hata manzania Alie shoboka na chanjo maana ilikuwa ni usanii tu, niambie chanjo imefikia wapi? Kimya with zero output.
 
Samia ni masters holder na ana uwezo wa akili na kupambanua mambo ikiwemo kujieleza vizuri kwa lugha ya malkia kuliko muhuni mmoja anaitwa jiwe ambaye hakuwa anajuwa hata kujieleza kiufasaha kwa lugha ya kiingereza pamoja na kuwa na phd
Masters holder? Aliipata kutoka chuo gani?
 
Vingi sana sasa tumepata masoko ya nyama uarabuni, tumepata soko la parachichi China na South Afrika. Hayo ni machache tu ambayo hao marais 5 hawakuwahi kufanikisha
Unaleta points kama za kitoto cha form one kwenye Civics, hakuna kitu huyo mama yenu.
 
Tofauti na Mwalimu hakuna mjaama mwingine aliyeongoza chama, pia hakuna mwanamapinduzi Tanganyika.
Yaani akiachia ngazi 2025 atakua kalitendea taifa jambo jema sana. kiitikadi sio mjamaa wala sio mwanamapinduzi. Hastahili kuongoza chama cha mapinduzi.

Wabinafsi wanamzonga na sera ya PPP huku lengo lao kuiba uwekezaji wa umma. Yaani serikali iwekeze na wao huku wanawekeza hewa kama wale wahuni wa simon group and then wavune toka investments za umma.
 
Back to my point. Bibi hana sifa za kua rais nisikuchoshe fuatana na mimi:
Inanibidi, kwa sababu ya mada hii pekee, na kwa bandiko hili pekee, leo niwe upande wake.

Mkuu 'The unpaid Seller,' Lakini si anajua "kulambisha Asali"?

Sasa ukitaka kuona mengi ya kustaajabisha ya nchi yetu hii, wewe subiri hapo 2025, uone mwenyewe!

Hivi si tayari unazisikia nyimbo zake?

'Uchawa' wangu unaishia hapo.

Sasa ninaisikitikia Tanzania yetu hii na wananchi wake watakaolazimika kupoteza miaka mingine mitano, au hata zaidi, chini ya uongozi wa aina hii.

Uwepo wa Samia katika nafasi hiyo ni kielelezo tosha kabisa cha ubovu wa CCM, na kwa bahati mbaya sana, ubovu ulioingia hadi ndani ya vyombo vinavyotegemewa kutoruhusu uozo wa namna hii ndani ya nchi.
 
Wabinafsi wanamzonga na sera ya PPP huku lengo lao kuiba uwekezaji wa umma. Yaani serikali iwekeze na wao huku wanawekeza hewa kama wale wahuni wa simon group and then wavune toka investments za umma.
Umenikumbusha mradi wa DEGE wa NSSF na washirika wao AZIMIO kule Kigamboni.
Sasa subiri huo mradi utakavyoibuka tena kwa hizi pilkapilka za hivi karibuni

Kwa bahati mbaya sana, Samia hana kinachomuuma juu ya hatma ya Tanzania.
 
Ukiamua kutrace background yake kwenye swala la elimu huwezi kuambulia kitu, yani imefichwafichwa hata haieleweki kabisa. Yule hata shule haimo kichwani ndiomaana anapelekwa hovyo na akina Mwingulu, atasgauriana nao nini hajui kitu?
That is true , ndo maana anawataka kuwalipa weznake waliogushi vyeti iliwafanane
 
Back
Top Bottom