Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea


Jiwe alikuwa Mwanaharakati aliyetaka kutumia propaganda kuendesha nchi, Mbona hakujua mashirika yanapata hasara kwa kuyalazimisha kutoa gawio.
 
Sawa mkuu kama matusi yako yanabadili chochote, wenzako wanakosoa kwa hoja siyo matusi
 
Wewe wakala wa Kalemani umekalia kuandika threads za uzushi tu. Ripoti ya matatizo ya hizo injini za Airbus ziko wazi mtandaoni na ni tatizo la Dunia. Unataka Samia akafanye nini?

Usituletee ujinga wa mjomba wenu Magufuli aliyekuwa ana micro manage kwa kukesha na mafaili. Akili yako Suzy Elias iko sawa na Suzi wa Buguruni tu, majungu tu mwanume mzima.
 
Ni kweli kabisa mkuu.samia alitakiwa kuwa mjumbe wa mtaa wa mchambawima na siyo rais wa nchi ya Tanzania bara
 
Siyo mashirika tu kila kitu kitakufa itabaki ikulu pekee
 
Acha mawazo ya kipuuzi hakuna kitu kitakachokufa chini ya Rais Samia Suluhu mama amefufua miradi mingi sana iliyokua imesimama na inaelekea kufa pia Rais Samia Suluhu ni mfatiliaji mzuri sana wa mambo na akiona jambo halipo sawa anatatua kwa wakati
 
Nikiuliza nipewe sababu mhimu ya Kwa nini bei ya bidhaa imepanda Kwa kiasi kikubwa hiko hakuna sababu ya maana!

Hiyo ni moja ya dalili za kushindwa! Kwa nini mgao wa umeme, sababu hazijitosherezi, Kwa nini kipindi cha nyuma gharama ya kuingiziwa umemw ilikuwa 27000, na sasa 300000+ hakuna sababu ya msingi!

Kwa nini tumeongeza tozo lakini zimefanya nini, labda kuna jambo jipya ambalo halikuwa likifanywa kipindi cha nyuma tozo imefanya, napo hakuna!

Hizo ndizo dalili za kishindwa!

Na sababu Moja wapo ya yeye kushindwa, amekaa kirafiki sana hata mahali pasipostahili kukaa kipendwa kama Amiri Jeshi mkuu wa Tanzania

Urafiki katika kazi sio mmbaya, ila wateule wanapoharibu na kumharibia, urafiki wa nini hapo?

Kwa nini kuwa na urafiki na mtu anayeharibu kazi yake?

Mawaziri kibao wapo wapo tu hapo kumharibia Rais, Kwa nini urafiki nao.?

Badala yake sasa tunaanza kuungana nao kuombea kila kitu kisifanikiwe chini yake Kwa sababu yeye Mh anataka hivyo,

Kwani watu wazuri, wazalendo, wachapakazi na wasomi wameisha kwenye Taifa hili ili hali kila kitu kinaenda ndivyo sivyo?
 
Dua la kuku.
Na kwa akili hiyo we ndo usha shindwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…