MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 924
- 1,096
Sio mpaka uende kila mahali mfano mrahisi,
Jiwe alijuaje wachungaji wanauza vifaa vilivyokuja kwa msamaha wa kodi..?
Alijuaje mabwawa ya kufua umeme yanafunguliwa usiku ili sababu iwe kina cha maji kimeshuka wauze majenereta yao..?
Alijuaje butimba kuna simu na biashara ya ganja...?
Alijuaje, alijuaje alijuaje...?
Kuwa Rais sio mpaka uende kila sehemu unahitaji watu sahihi wa kukupa info hilo tuu.
Jiwe alikuwa Mwanaharakati aliyetaka kutumia propaganda kuendesha nchi, Mbona hakujua mashirika yanapata hasara kwa kuyalazimisha kutoa gawio.