antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mwacheni Mama afanye kazi msiwashwewashe,; hamjui jinsi watu walivyokosa matumaini chini ya mwenda zake; hotuba mbili tu watu wameshaanza kureje
sha furaha hata kama hawana fedha, lakini wanayo amani.Kaza hapo hapo mama.Kama yeye hakutaka kupangiwa maneno nawe Fanya hivyo hivyo.
Ala kumbe CDM wako Ikulu ? Duh, maajabu hayataisha duniani !Unafiki wake nini, mbona hayati nae alikuwa hivo hivo wakati anamuambia JK asafir tu ili alete mahela, alivoingia unakumbuka akasemaje na akatendaje?
Mtateseka sana, nchi imechukuliwa na CDM kiulaini bila hata push up yani
MATAGA bhana..
Kwani jiwe alikuwa anakubaliana na kuendeleza ya mtangulizi wake yoote?
Mfano tu, Bandari ya Bagamoyo vipi?
Kila mmoja anakuwa na MAONO, hawezi kuenenda kwa kufuata tu nyayo kama kasuku.
Mfano, angalia USA. Siku ya kwanza tu rais mpya akiingia ofisini, anabatilisha presidential decrees kibao za mtangulizi wake na ku saini "executive orders" nyiiiingi utafikiri ndo kwanza nchi imepata uhuru.
MATAGA mlizoea kukalia wananchi vichwani.
Mkombozi wa kweli kapatikana, muacheni afanye kazi ya UKOMBOZI kuitoa nchi UTUMWANi
Umeona eeehNahisi kama mleta mada ana multiple ids maana si kwa majibu hayo
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Sukumer gangNahisi kama mleta mada ana multiple ids maana si kwa majibu hayo
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Marehemu alisema hapangiwi,acha atapangiwa kazi nyingine huko mbinguni na yeye.Ni swala la muda tu.Hapa hatuna Rais
Eti Malaika! Unadhani Malaika wanafuata amri ya Kibwengo chochote?Mama Samia ndio mwokozi, Watanzania walikuwa wanamsubiria... Praise team mtahama nchi..
Mnafiki ni yule aliyekuwa anajifanya mtetezi wa wanyonge kumbe hana lolote...
Eti tunajenga kwa fedha zetu za ndani, kumbe ni fedha za mikopo...
Akwende zake huko akaongoze malaika...
Wafuasi wa Jiwe hamuamini macho yenu. Vumilieni ustaarabu unaporejeshwa . Huyo mwendazake keisha maliza majukumu yake na hawezi kunyanyuka tena .Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Watu tumemsahau Hadi JKN sembuse jiwe? Kwenda hukoJPM will never be forgoten easily....
hizi ni nvua za rasha rasha tu....
We ni mkamba,kiswahili gani eti simekaa.Hotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos
Ilani kitu gani?!!!Tatizo lenu watu wengine ni kwamba ushabiki wa kisiasa ndio mnaouweka mbele. Huoni kwamba JPM alikuwa ana ilani yake na watangulizi wake nao walikuwa na ilani zao?