Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mkuu, wale wana-deal na issues kubwa kubwa na misheni ngumu ngumu tu, siyo masuala madogo kama DP World.
 
Hao wavaa miwani hawana msimamo.namba moja akisema twende kusini na wao wanafuata huko hata kama haitakiwi
 
Ni wazi Samia huko alipo haamini kinachoendelea kwa namna anavyopondwa kila kona!

Samia alishajiaminisha eti anapendwa na hakutarajia kibao kumbadirikia kwa ghafla asivyotarajia hali inayompa wakati mgumu mno ki uongozi na ki siasa

Chaguo pekee alilobakisha ni yeye kutumia vyombo vya dola kuwathibiti wakosoaji wake hata ambao hakuwatarajia

NAJAWA HOFU HUENDA SAMIA AKAWA DIKTETA KULIKO...
Nanga nawe kwa sauti kubwa.

Viongozi wa dini, Wanasiasa ndani na nje ya Chama chake, Wasomi nao wanashutumu maamuzi ya Serikali yake kuingia mikataba ya kutekeleza miradi. Shutuma hizi zinamgusa yeye, kama Mzanzibari, kwa kuwa ni mikataba inayogusa Tanzania bara tu.

Asipochukua hatua ya kurekebisha, hakuna shaka Upinzani utatumia shutuma hizo kuiondoa CCM madarakani. Ikitokea hivyo, atabeba lawama yeye kama yeye, CCM kumfia mikononi mwake
 
CCM LIKIJIFIA WEWE UNAOGOPA KUFA KWA NJAA? [emoji2] NA LAZIMA KIFE TU HICHO CHAMA.SISI TUNAKOLEZA KUNI TU [emoji91]
 
Hivi huyo mama anatuchukuliaje lkn?!

Kwa mjibu wa hiyo video ina maana yeye husaini bila kuisoma MIKATABA?

Inawezekanaje Rais wa nchi usiweze kung'amua vipengere vya hovyo kwenye mikataba hadi utegemee watu?!

Mbaya zaidi mwishoni anakili uovu wa dhambi!

NB: Ajaye baada ya yeye sioni ni kwa namna gani ataacha kumfungulia mashtaka!
 
View attachment 2662952

TUTAMSHITAKI HATA KWA MUNGU
 
Asante Mh Rais!

Kiukweli kabisa sisi Tanganyika tumechoka kulizwa kupitia mikataba ya kihuni, na huo mkataba wa DP Word hatuutaki

Utazamwe upya kama unavyosema, hapo tutakuunga mkono, bila hivyo bado tutawalaumi nyinyi kwa kuruhusu mkataba wa kihuni
 
View attachment 2662952
Hivi huyo mama anatuchukuliaje lkn?!

Kwa mjibu wa hiyo video ina maana yeye husaini bila kuisoma MIKATABA?

Inawezekanaje Rais wa nchi usiweze kung'amua vipengere vya hovyo kwenye mikataba hadi utegemee watu?!

Mbaya zaidi mwishoni anakili uovu wa dhambi!

NB: Ajaye baada ya yeye sioni ni kwa namna gani ataacha kumfungulia mashtaka!
1.Je, yeye alisaini bila kusoma kilichomo ndani yake??
2.Mwanasheria Mkuu wa Serikali yupo, Je, kwa nini hakum-consult kwanza personally kabla ya kusaini mkataba??
3.Je, hao Wanasheria (Maafisa) anaodai/anaowalalamikia kwamba wamempotosha na hatimaye kuingiza nchi kwenye "mtafaruku mkubwa wa sintofahamu" amewachukulia hatua gani za kisheria kwa kosa kubwa kama hili la 'kuuza nchi'?????
4. Endapo kama bado hawajachukuliwa hatua kali za kisheria, Je, ni kwa nini? Kwa nini sisi wananchi tusiamini kwamba wote lao ni moja???
 
Back
Top Bottom