Mbona mikataba kama hii imesainiwa hata na nchi za ulimwengu wa kwanzaMbona kama naona nchi inaelekea pabaya? Hata hii mikataba uchwara wanayo taka kusaini hamuioni? Au hamna meno ya kuuma?
Naam Naam, Fiston Kalala Mayele mwamba wa ZaireWatanzania wapo bize kujadiliana goli la mayele
Boss wao ni Rais.. Unaanzaje pingana na anaekupa kwenda chooni ?Mbona kama naona nchi inaelekea pabaya? Hata hii mikataba uchwara wanayo taka kusaini hamuioni? Au hamna meno ya kuuma?
Mkataba upi ni uchwara? Tuanzie hapoMbona kama naona nchi inaelekea pabaya? Hata hii mikataba uchwara wanayo taka kusaini hamuioni? Au hamna meno ya kuuma?
Sema lile goli sheikh!πππ Nacheka lakini naogopaNaam Naam, Fiston Kalala Mayele mwamba wa Zaire
HahahaaSema lile goli sheikh![emoji119][emoji119][emoji119] Nacheka lakini naogopa
Nanga nawe kwa sauti kubwa.Ni wazi Samia huko alipo haamini kinachoendelea kwa namna anavyopondwa kila kona!
Samia alishajiaminisha eti anapendwa na hakutarajia kibao kumbadirikia kwa ghafla asivyotarajia hali inayompa wakati mgumu mno ki uongozi na ki siasa
Chaguo pekee alilobakisha ni yeye kutumia vyombo vya dola kuwathibiti wakosoaji wake hata ambao hakuwatarajia
NAJAWA HOFU HUENDA SAMIA AKAWA DIKTETA KULIKO...
CCM LIKIJIFIA WEWE UNAOGOPA KUFA KWA NJAA? [emoji2] NA LAZIMA KIFE TU HICHO CHAMA.SISI TUNAKOLEZA KUNI TU [emoji91]Nanga nawe kwa sauti kubwa.
Viongozi wa dini, Wanasiasa ndani na nje ya Chama chake, Wasomi nao wanashutumu maamuzi ya Serikali yake kuingia mikataba ya kutekeleza miradi. Shutuma hizi zinamgusa yeye, kama Mzanzibari, kwa kuwa ni mikataba inayogusa Tanzania bara tu.
Asipochukua hatua ya kurekebisha, hakuna shaka Upinzani utatumia shutuma hizo kuiondoa CCM madarakani. Ikitokea hivyo, atabeba lawama yeye kama yeye, CCM kumfia mikononi mwake
Ccm life tu.CCM LIKIJIFIA WEWE UNAOGOPA KUFA KWA NJAA? [emoji2] NA LAZIMA KIFE TU HICHO CHAMA.SISI TUNAKOLEZA KUNI TU [emoji91]
TUTAMSHITAKI HATA KWA MUNGUView attachment 2662952
Hivi huyo mama anatuchukuliaje lkn?!
Kwa mjibu wa hiyo video ina maana yeye husaini bila kuisoma MIKATABA?
Inawezekanaje Rais wa nchi usiweze kung'amua vipengere vya hovyo kwenye mikataba hadi utegemee watu?!
Mbaya zaidi mwishoni anakili uovu wa dhambi!
NB: Ajaye baada ya yeye sioni ni kwa namna gani ataacha kumfungulia mashtaka!
1.Je, yeye alisaini bila kusoma kilichomo ndani yake??View attachment 2662952
Hivi huyo mama anatuchukuliaje lkn?!
Kwa mjibu wa hiyo video ina maana yeye husaini bila kuisoma MIKATABA?
Inawezekanaje Rais wa nchi usiweze kung'amua vipengere vya hovyo kwenye mikataba hadi utegemee watu?!
Mbaya zaidi mwishoni anakili uovu wa dhambi!
NB: Ajaye baada ya yeye sioni ni kwa namna gani ataacha kumfungulia mashtaka!