Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

To me la maana sijaona zaidi ya kuboronga mengi, labda tuendelee kumtazamia si bado ana miaka 2 ya kutamba kwenye ukuu wa nchi labda atafanya maajabu ya karne [emoji1]
 
To me la maana sijaona zaidi ya kuboronga mengi, labda tuendelee kumtazamia si bado ana miaka 2 ya kutamba kwenye ukuu wa nchi labda atafanya maajabu ya karne [emoji1]
[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1]
 
Punguza chuki hata kama humpendi huyo SSH

" kuweni wasimamizi wa haki na uadilifu kwa ajili ya mwenyezi, kuchukiana kwenu na watu kusikupeleekeni ninyi kutokufanya uadilifu, fanyeni uadilifu"

Hata kama humkubali mtu basi hakikisha kutokumkubali kwako liwe ni jambo mbali na kufanya uadilifu juu yake ni jambo mbali

Usichanganye hisia binafsi na uadilifu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…