Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Akaswage ng'ombe huko usukumani na kubebesha punda mizigo wengine tunajitambua
 
Sawa, yataenda kwa viboko, ila hayo MAPUNDA yakifika mtoni kunywa maji hayalazimishwi..!! Ni nature (kiu) pekee ndo itawafanya wanywe maji. Tena hata bila viboko, kiu ikiwashika tu watakunywa maji. Hivyo mama anatakiwa ayafanye yatakayowapa kiu hayo MAPUNDA, ataona YENYEWE yanaongoza mto ulipo..!!
 
Baada ya kazi ngumu na mijeledi tu kama sultan sayyid!
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Ile ya Tarehe 17/3 , nipo Lodge Mara TV linatangaza habari ,Samia anamtangaza Kifo Cha JPM.


Kwanza shoo ikaishia palepale, nikaanza kububujikwa na machozi.

Kilichoniliza , sio Kifomcha JPM pekee, Niliwaza, nikaanza kumbuka Maujinga ya wakati wa JK MASIKIN alivyokua choka mbaya kabwera, Tajir akawa Tajiri wa kutupwa,, ukimsifia Papa nani huko anakumwagua Hela , Nchi ikachakaa kwelikweli, Rushwa, ufisadi ulokithiri ,Nchi ikafubaaaa.


Kwa ujanja wa Jakaya, akawa anaajiri Kila mwaka, akaacha watu waongee wanavyotaka , wajinga wakafurahia mambo mepesi, ila nchin ikazidi kuliwaaa.



Oyaaaaa, nikasema Moyoni mwangu, Hivi ndiko Sasa tunarudi tulipokua??.

JPM kafa, watanzania na mabeberu yakaanza kufungua kesi mahakamani, Yanarudishiwa Pesa yalotuibiaa .


JPM Kafa, Wamasai wanahamishwa.

JPM kafa, Wafanyabiashara wanajiamlia bei.

JPM kafa, Nchi Haina bei elekezi.

JPM Kafa, Rushwa ufisadi ndo usiseme.

JPM kafa, Tunaambiwa JNHEPP Ina nyufa.

JPM kafa, Bandari zote kapewa Mwarabu .



Kuna wakati kama mwanadam ,unaweza jikuta unavuka ukomo wa Uvumilivu na kuanza kumhoji Mungu, kwanini ulimchukua JPM???.



Binafsi katika Moja ya Maombi nayoomba Kila siku ni huyu kiumbe Mmoja kuaga Dunia....
JK.
 
 
nyie wajinga kweli. sasa nyie ndoo mnataka katiba. sasa kama wananchi wametoa kero rais kasema wanaenda kuzifanyia kazi tatizo lipo wapi hapo kwamfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…