Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Juliasi alimpa ukuu wa polisi mtu ambaye sifa yake ilikuwa kuwasha makarabai misikitini miaka hiyo, uliwahi kuambiwa hilo?
Saaa kwa mambo kama hayo ulitegemea ataiwacha vipi hii nchi zaidi ya alivyoiwacha na umasikini wa mwisho duniani?
 
Siku Ile ya Tarehe 17/3 , nipo Lodge Mara TV linatangaza habari ,Samia anamtangaza Kifo Cha JPM.

Kwanza shoo ikaishia palepale, nikaanza kububujikwa na machozi.

Kilichoniliza , sio Kifomcha JPM pekee, Niliwaza, nikaanza kumbuka Maujinga ya wakati wa JK MASIKIN alivyokua choka mbaya kabwera, Tajir akawa Tajiri wa kutupwa,, ukimsifia Papa nani huko anakumwagua Hela , Nchi ikachakaa kwelikweli, Rushwa, ufisadi ulokithiri ,Nchi ikafubaaaa.

Kwa ujanja wa Jakaya, akawa anaajiri Kila mwaka, akaacha watu waongee wanavyotaka , wajinga wakafurahia mambo mepesi, ila nchin ikazidi kuliwaaa.

Oyaaaaa, nikasema Moyoni mwangu, Hivi ndiko Sasa tunarudi tulipokua??.

JPM kafa, watanzania na mabeberu yakaanza kufungua kesi mahakamani, Yanarudishiwa Pesa yalotuibiaa .

JPM Kafa, Wamasai wanahamishwa.

JPM kafa, Wafanyabiashara wanajiamlia bei.

JPM kafa, Nchi Haina bei elekezi.

JPM Kafa, Rushwa ufisadi ndo usiseme.

JPM kafa, Tunaambiwa JNHEPP Ina nyufa.

JPM kafa, Bandari zote kapewa Mwarabu .

Kuna wakati kama mwanadam ,unaweza jikuta unavuka ukomo wa Uvumilivu na kuanza kumhoji Mungu, kwanini ulimchukua JPM???.

Binafsi katika Moja ya Maombi nayoomba Kila siku ni huyu kiumbe Mmoja kuaga Dunia....
JK.
Nyie watu mnasikitisha sana badala ya kujitafutia na kutumia akili kuinovate na kutumia vizuri existing peace kujiinua kiuchumi mnaleta stori za karume kenge nyie so ndio mliokuwa mnasema bora Kikwete zama zile JPM na makelele mengi sana mara hii bora zama zile walalamishi hawataisha mtaendelea soku zote badala ya kujiuliza mmeifanyia nini nchi yenu mko bize na kutoa lawana na kulinganisha watu ilihali wote ni wanaccm, ccm chama imara.
 
Wakuu tumepigwa.

Tuendelee kuomba amani tu. Ila mtahadithia.

Tutamkumbuka Sana JPM.
Tumesema hapa toka siku anaapishwa kwamba nchi imepigwa ni kipindi cha mpito nchi haina kiongozi,Wanawake waachiwe jamani wakapike jikoni tu haya mambo ya kuongoza nchi sio sawa taarabu.Nchi haieleweki mambo ni hovyo.
 
Wakuu tumepigwa.

Tuendelee kuomba amani tu. Ila mtahadithia.

Tutamkumbuka Sana JPM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
frank_yanga_1691214630235739.jpg
 
Kuna mmoja alienda ofis ya umma kaona anachelewa kupewa huduma akasema akaanza kuwamaind wakamwambia kama mama anatuomba tufanye kazi ww n nan utuforce 😭🙌 apo nlnyoosha mikono
Ndio nidhamu za hiari hizo alizozitaka Rais Samia.
 
Mwinyi aligawa loliomdo Hadi kwenye kitabu chake anakiri alikosea
Huo ni uongo. Sijaliona hilo wala hatujaona Loliondo kugaiwa, Loliondo ni kitalu cha kuwindia kama vilivyo vitalu vingine.

Tanzania ina vitalu vingapi vya kuwindia?

Hawa wazungu tazama maeneo ya kuwindia waliyonayo na wanavyofanya biashara ya uwindaji halafu tupe jibu tofauti ya hawa na Loliondo:

Au wazungu tu ndiyo RUKSA?
 
Kwanini huanzii wakati wa Juliasi Kambarage? Au huyajuwi tukukumbushe?
Ukumbushe nini, ujinga wako?

Utaanzia wapi kulinganisha ya Juliasi Kambarage na ya Samia Suluhu au mwingine yeyote unayeona maluweluwe yake ukiwa ndani ya kilevi chako?
 
Ukumbushe nini, ujinga wako?

Utaanzia wapi kulinganisha ya Juliasi Kambarage na ya Samia Suluhu au mwingine yeyote unayeona maluweluwe yake ukiwa ndani ya kilevi chako?
Anza wewe, kipi alichokifanya juliasi ambacho leo unaweza kusema ni "legacy" yake?

Oooh, Katuwachia comedian mwenzake, Makongoro, siyo dogo hilo ni legacy la uhakika.
 
Au wazungu tu ndiyo RUKSA?
Hao wazungu hawajatangaza eneo lao kuwa sehemu ya nchi yao ndani ya Tanzania.
Huko kwenye wazungu hatujasikia mikwaruzano ya mara kwa mara na wananchi wanaoishi katika maeneo hayo.

Kama huoni tofauti utakuwa umepofushwa na kile kilevi chako cha siku zote.
 
Anza wewe, kipi alichokifanya juliasi ambacho leo unaweza kusema ni "legacy" yake?
Wewe hapo. Bila ya julias ungekuwa unajamba tu huko mitaani Kariako tokea wakati ule. Na hili huna hata akili za kulitambua, jambo ambalo liko wazi kabisa?
 
Anza wewe, kipi alichokifanya juliasi ambacho leo unaweza kusema ni "legacy" yake?

Oooh, Katuwachia comedian mwenzake, Makongoro, siyo dogo hilo ni legacy la uhakika.
Hata katika upofu wako wa ulevi, uwe mara moja moja unakubali ukweli ulio wazi. 'Intelectually' utamlinganisha vipi Julias na hawa wengine wote?
 
Wakuu tumepigwa.

Tuendelee kuomba amani tu. Ila mtahadithia.

Tutamkumbuka Sana JPM.
😂😂😂😂Tuliyataka wenyew tutanyoosha maelezo wenyew wazee mnatuangusha hatuna unit maendeleo huanza na sisi kwanza Kisha taifa
 
Hao wazungu hawajatangaza eneo lao kuwa sehemu ya nchi yao ndani ya Tanzania.
Huko kwenye wazungu hatujasikia mikwaruzano ya mara kwa mara na wananchi wanaoishi katika maeneo hayo.

Kama huoni tofauti utakuwa umepofushwa na kile kilevi chako cha siku zote.
Nani aliyetangaza kuwa eneo lake Tanzania hii?

Mikwaruzano Loliondo iko wapi zaidi ya uongo wa kupikwa?

Tazama wamasai:

View: https://youtu.be/zavSRYTX_S4?si=T_X00LS6XxGa1mnt
 
Nani aliyetangaza kuwa eneo lake Tanzania hii?

Mikwaruzano Loliondo iko wapi zaidi ya uongo wa kupikwa?

Tazama wamasai:

View: https://youtu.be/zavSRYTX_S4?si=T_X00LS6XxGa1mnt

Hayo mapambio. Kila mtu anaweza kuyafanya.

Niliingia na simu, ikaniambia nakaribishwa Falme ya Arabuni, huo ulikuwa ushahidi tosha kwangu. Sihitaji kuja kuambiwa na mtu kama wewe hapa usiyekuwa 'objective' kwa jambo lolote lile, kwa sababu ya kudhurika akili kutokana na kilevi.
 
Kuna watu wamezaliwa kama miti tu na kukulia porini huko, sasa wamekuja mjini imekuwa shidaaaa

Endeleeni kutapatapa
 
Hayo mapambio. Kila mtu anaweza kuyafanya.

Niliingia na simu, ikaniambia nakaribishwa Falme ya Arabuni, huo ulikuwa ushahidi tosha kwangu. Sihitaji kuja kuambiwa na mtu kama wewe hapa usiyekuwa 'objective' kwa jambo lolote lile, kwa sababu ya kudhurika akili kutokana na kilevi.
Porojo hizo.
 
Hakuna mradi wowote ambao umesmama mpaka Sasa,miradi yote inatekelezwa ipasavyo. Hongera Sana serikali ya awamu ya 6 chini ya Dr SSH
Mingapi imekamilika hadi sasa. Hapana achana na kukamilika; naomba tu unifahamishe maendeleo ya kile kipande cha SGR toka Dat hadi Moro, nitaridhika sana kwa jibu hilo moja tu. Hiki kipande kilikuwa kimepiga hatua kubwa zaidi kabla ya kifo, na tokea hapo haijulikani kimefikia wapi miaka miwili sasa.
 
Back
Top Bottom