Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kwanini huanzii wakati wa Juliasi Kambarage? Au huyajuwi tukukumbushe?
 
Daah!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini huanzii wakati wa Juliasi Kambarage? Au huyajuwi tukukumbushe?

Baba wa Taifa, (Mkristo) huyu aloifanyia Nchi hiii ni makubwa hata kama ana Mapungufu.


Mwinyii ( Muislam) akavuruga Nchi kwelikweli


Mkapa ( Mkristo) Nchi ikarudi kwenye Reli kwa kiasi fulan japo madhaifu yalikuwepo.


Kikwete ( Muislam)Akavuruga Nchi kwelikweli , nanilivurugika haswaa.


JPM (Mkirsto) CHUMA aloikomboa CCM kwanza ilikua inaenda kuzikwa, Kisha akairejesha Nchi kwenye Reli, Kila mtu akakaa sehem yake

kaja anayejificha kwenye "UANAMKE " ni Muislam pia , miaka miwili tuuuu ,miwili tuuu lkn alivyoivuruga hiii Nchi .
 
Wala hujakosea, hakuna kubwa zaidi ya kuiwacha nchi masikini wa mwisho duniani.

Ndivyo Nyerere alivyomwachia nchi Mwinyi.
 
Kweli watu hamjui vitu vingi someni kuhusu Social inference and ostracism or herding behavior. Herding behavior defined by Ipyana Haraba as an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering of their bosses and manipulation or favour of group objectives, (conflict of interest)
 
Pole
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…