Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Wewe uliwahi kufika huko utupe ukweli, hata kama ni wa kilevilevi hivi?
Ukweli ni kuwa unaleta porojo za kijinga.

Tuseme ndiyo mtandao wao umesoma hivyo kutoka kwenye wifi zao, tatizo nini?

Mnaleta mambo ya kijinga jinga kwa phobia zenu zenu zilizojaa ujinga.

Tuonesheni wapi ni haramu Tanzania kuwa na kitalu cha kuwindia katika vitalu vinavyogaiwa na serikali kwa muda maalum tena kwa mnada.

Sasa kwa kukujuza, wengine wale wa Sharjah, walidhulumiwa vitalu viwili wameshinda kesi zao. Unavielewa hivyo? Vikubwa kuliko Loliondo. Hiyo mipaka na Selous.
 
Mimi hayo siyajui, ila ninachojua, kuna ukombozi wa pili wa nchi hii unaoanza sasa toka kwenye haya ya utumwa mpya unaoingia kinyemela kwa jina la uwekezaji usiokuwa na tija.
Mapambano haya nayo tutayashinda tu hakuna namna nyingine.
 
Mimi hayo siyajui, ila ninachojua, kuna ukombozi wa pili wa nchi hii unaoanza sasa toka kwenye haya ya utumwa mpya unaoingia kinyemela kwa jina la uwekezaji usiokuwa na tija.
Mapambano haya nayo tutayashinda tu hakuna namna nyingine.
Kila la heri.
 
Pamba na hali yako.
Magufoool alikuwa kichaa baada ya kufanyiziwa kwasababu ya ubaya wake wengi tunalamba asali.
 
Saaa kwa mambo kama hayo ulitegemea ataiwacha vipi hii nchi zaidi ya alivyoiwacha na umasikini wa mwisho duniani?
Hujakosea, wazee wa elimu ya madrasa aliofikiri wangemsaidia walimuangusha sana.

Hawakuwa na uwezo wa kuwa washauri au wasaidizi.
 
Wewe unafikiri kwanini Waislam wapo hai Wakristo wamekufa.
Mimi ni mkristo ila ukweli ni kwamba ukiwa na roho mbaya au uchizi kama wa Magufoool huwezi kuishi miaka mingi.
 
Tumesema hapa toka siku anaapishwa kwamba nchi imepigwa ni kipindi cha mpito nchi haina kiongozi,Wanawake waachiwe jamani wakapike jikoni tu haya mambo ya kuongoza nchi sio sawa taarabu.Nchi haieleweki mambo ni hovyo.
Umepigwa vipi na mwanamke au alitumia nanihii zile?
 
Hujakosea, wazee wa elimu ya madrasa aliofikiri wangemsaidia walimuangusha sana.

Hawakuwa na uwezo wa kuwa washauri au wasaidizi.
Kwa hiyo kwa miaka 24 mfululizo hakupata "wasomi" wakanisani kwake wakumsaidia?
 
Mkumbuke wewe mwenyeww
 
Ndugu Carlos usidanganye watu, Hakuna anaye furahia kifo cha mtu ila tarehe 17 Machi iliepusha nchi kuingia kwenye shimo la sahau!

Kwanza kumuingiza JK kwenye hoja yako kuhusu ufisadi bila kuweka wazi kiasi cha ufisadi ndani ya uongozi wake dhidi ya ufisadi ndani ya uongozi wa JPM hutendi haki.

Kwa kukusaidia, kwa mujibu wa ripoti ya CAG, mpaka JK anatoka madarakani miaka 10 ufisadi ulikadiriwa kufikia bilioni 360.

Ilihali kwa mujibu wa CAG hadi JPM anafariki, yaani ndani ya miaka 6 ufisadi ulikadiriwa kufikia zaidi ya trilioni 3. Na ndio maana CAG aliondolewa na sheria ya takwimu kubadilishwa.

Kuhusu kesi, kesi nyingi zimetokana na maamuzi mbaya ya JPM aliyoyafanya bila kufuata sheria, na hivyo kupekea tunashindwa. Kipindi cha JK ndio ulishindi kesi ya kutumia maji ya ziwa victoria na kesi ya radar miongoni mwa kesi nyingine ulipatikana.

Kuhusu kuhamisha wamaasai utaratibu wa sheria iliyopo imefuatwa, wamepewa eno, nyumba na miundo mbinu muhimu, hela ya kujikimu na nauli juu.

Je kipindi cha JPM, wakazi wa pembeni mwa Morogoro road walifanyiwa hayo? Wakati wa tetemeko la Kagera walifanyiwa hayo? Usikumbushe watu machungu!

Tangu lini wafanya biashara wakajiamulia bei? Bei ya mafuta ndio mzizi wa bei ya bidhaa nyingi. Je mafuta wanapanga wafanya biashara au EWURA?

Kuhusu nyufa za bwawa la Nyerere, ukweli ni kwamba Ufa wowote huanzia kwenye msingi, msingi wa bwawa hilo kajenga nani? Sio JPM?

Kuhusu makubaliano ya kushirikiana kuhusu kuendesha bandari zetu na Kampuni ya DP world, unauhakika wanahisa wake ni waarabu tu! Kwa mazingira tata ya uwekezaji aliyoyaacha JPM ulitegemea makubaliano yaweje?

Ndugu yangu kama unavyo sikitika na kujiuliza kwa nini Mungu kamchukua mapema ndivyo na wengi wanavyoenda kwa Mungu huyo kutoa Shukrani kwa kuingilia kati mapema.

Isitoshe, JPM mwenyewe walikuwa akiomba watu wamuombee sana, kila mtu na Mungu wake akamuombea, Majibu yakatoka. Kubaliana na majibu.

Kuhusu kuomba kifo cha JK, Mungu akiyasikia maombi yako, hewala! Kukushauri tu punguza chuki dhidi ya JK, unajiumiza bure.
 
Upuuzi mtupu
 
Unatumia ATP nyingi kumuelewesha huyo
 
Duh 🙄 !!
 
Hilo la kumuhoji Mungu tulihoji na tukahoji sana..mwishoni tukasema labda Mungu alishaondoka Africa.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…