Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Watanzania wamelaanika.

Ukisha laanika ni kuendeshwa kama Gari bovu.

Ni mkuku mkuku tu.
 
Dkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaie
FaizaFoxy umeelewa dada namna tunaomjua mama in personal huwa yukoje .nlikwambia mama anajuta baada ya kujua ukweli .mama hela anayo hivi virushwa hataki
 
Ambao huzungumza ukweli kuhusu utawala wa Nyerere huonekana wanafiki ,lakini ndo walio simama kwenye ukweli,ambao wengi huwa hawataki kuusikia
Unaweza kuwa na hoja lakini hujafafanua. Kwa upande mwingine, Nyerere alituachia viwanda vingapi. Leo, hata kiberiti tunaagiza Kenya kwa mfano.
 
Dkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaie
Chawa uko vizuri πŸ™
 
wewe acha uongo, eti tumepiga kelele sana 😳!!!

wewe na nani mlikua mnapiga kelele? na wap huko?
Nani atakaa kusikiliza makelele Yako?
Badilika wewe, una malalamiko, una maoni, dukuduku au tashwishwi wasilisha panapohusika kistaarabu.
Achana na makelele, hizo ni fujo hayupo wa kuskiza .
 
Aise hii ndiyo jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…