FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wewe si unazo zako? Jibu hoja hiyo.😡😡😡😡😡 yaani akili zako unazijua mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si unazo zako? Jibu hoja hiyo.😡😡😡😡😡 yaani akili zako unazijua mwenyewe
Nyie vibibi ndo mlisoma bure wakati wa nyerere leo sisi vijana tunateseka.Wewe si unazo zako? Jibu hoja hiyo.
Hapana, mimi sikusoma bure.Nyie vibibi ndo mlisoma bure wakati wa nyerere leo sisi vijana tunateseka.
Dah FaizaFoxy unamchukia sana Nyerere Aisee 🤣🤣🤣🤣🤣Nyerere alikaa miaka 24 madarakani, panga pangua kibao, na nini alichokifanya unachokiona leo hii Tanzania?
Kaka rekebisha hapo.tutafila kweli
wewe si umesoma wakati wa nyerere au umesoma enzi za ukoloni? Au ulisoma wapi?Hapana, mimi sikusoma bure.
FaizaFoxy umeelewa dada namna tunaomjua mama in personal huwa yukoje .nlikwambia mama anajuta baada ya kujua ukweli .mama hela anayo hivi virushwa hatakiDkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaie
We bibi majini uliyofuga yameanza kukudhuru.Nyerere alikaa miaka 24 madarakani, panga pangua kibao, na nini alichokifanya unachokiona leo hii Tanzania?
Unaweza kuwa na hoja lakini hujafafanua. Kwa upande mwingine, Nyerere alituachia viwanda vingapi. Leo, hata kiberiti tunaagiza Kenya kwa mfano.Ambao huzungumza ukweli kuhusu utawala wa Nyerere huonekana wanafiki ,lakini ndo walio simama kwenye ukweli,ambao wengi huwa hawataki kuusikia
Nyerere alikifanya ccm kiendelee kuwepo mpaka leoNyerere alikaa miaka 24 madarakani, panga pangua kibao, na nini alichokifanya unachokiona leo hii Tanzania?
Duh! Amsalimie marehemu 🙆Long tym wewe mama sijakuona hapa jukwaani. Nakusalimia. Msalimie warumi.
Weeeeh! Sijawahi kuisikia hii....Duh! Amsalimie marehemu 🙆
Triki za kuhamisha magoli tumegutuka!Nyerere alikaa miaka 24 madarakani, panga pangua kibao, na nini alichokifanya unachokiona leo hii Tanzania?
Chawa uko vizuri 🙁Dkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaie
wewe acha uongo, eti tumepiga kelele sana 😳!!!Danadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...
How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafila kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.
Miradi ya serikali inasuasua sana. Huku wachache wakitumbua kodi zetu. Atabadili sana watendaji bila yeye kabadilika no results.
Warumi alishafariki mkuu uzi upo humu JFWeeeeh! Sijawahi kuisikia hii....
Big NODkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaie
Rekebisha hapo hatufili tutafikatutafila kweli?
Aise hii ndiyo jfwewe acha uongo, eti tumepiga kelele sana 😳!!!
wewe na nani mlikua mnapiga kelele? na wap huko?
Nani atakaa kusikiliza makelele Yako?
Badilika wewe, una malalamiko, una maoni, dukuduku au tashwishwi wasilisha panapohusika kistaarabu.
Achana na makelele, hizo ni fujo hayupo wa kuskiza .