Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Haahaa pole Sana, Samia suluhu ndo rais wetu, utake usitake.vinginevyo uhame nchi hyo mpaka 2030.Tumechoka nchi yetu kuongozwa kihuni
Vipi umehama toka Saccos ya Chadema umerudi CCM sasa mkuu? Karibu sana kwenye Chama Dume!!
 
Mwacheni mama achape kazi zake.
Tz kwanza, mama afuate katiba, mambo ya ilani mpelekee mzee Mangula na mzee Pole Pole.

Mama leo amewafurahisha wanyonge walioteseka kwa miaka mitano chini ya utawala wa Magufuli uliokuwa unadai kufuata ilani ya CCM.
 
Swala la Kodi mtu akilifanya kuwa ni ngazi ya kupanda kisiasa, lazima serikali iwe hoi
. Mh. Rais Samia Suluhu Hassan hafanyi mambo ili kupanda kisiasa.
Umoja wa Kitanzania ulikufa.
Mshikamano wa Kitanzania ulikufa.
Uhuru wa Kitanzania ulikufa.
Furaha ya Kitanzania ilikufa.
Maendeleo kwa Mtanzania yalikufa.
Haki kwa Mtanzania ilipotea.
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ameanza kurudisha hayo yote na mengineyo halafu wewe limbukeni moja unaanza kumpiga mkwara,mtashughulikiwa.
Mmezoea siasa za uongo uongo wa kishetani kama shetani alivyo baba wa uongo,leo mnaambiwa ukweli mnaona kuwa ni siasa.
Pendejo!
 
Back
Top Bottom