Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Nini wewe binadamu anayeandika huku umejaa chuki na ubinafsi moyoni mwako. Mama Samia kakosa ajenda kweli kwa huo ufinyu wa mawazo yako. Shida uliyonayo ni kudhani wawekezaji ni wezi na mafisadi si ndio? Mama samia hana maisha ya chuki za ajabu kama zilzoko kchwani mwako. Acha aongoze nchi ili tufikie malengo, maana target yake kubwa ni kupanua wigo wa ukusanyaji wa mapato ambao ndo utatupa mwanga wa utatuzi wa changamoto za kwenye ilani bila matumizi ya lugha za kibabe na kifedhuri. Uache kuwa maskini wa fikra. Mama anatengeneza mpango kazi ili tuende mbele we kenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mimi Cha kwanza ni Tanzania mkuu, mama amejua kuangalia mama Tanzania.mambo ya mavyama Sina muda, kwangu haki, uadilifu na uzalendo
Karibu sana tuendelee kutekeleza ilani ya Chama Dume CCM mkuu.
 
Watashughulikiwa hao chato gang
Wewe ni moja Kati ya wasiojielewa na huwenda hauko Sawa!

Kama ulivyprodhesha madhila yoote yaliyosababishwa na jiwe, ni pamoja na watu kukosa Uhuru wa kuongea, halafu hilohilo ambalo unalikataa lisijrudie, wewe unasema watu washughurikiwe!!!

Duniani Ni mahali ambapo hapajawahi kueleweka,!!

Na uache kutisha watu mara moja
 
Unaweza kunionyesha ni ukurasa wa ngapi wa ilani ya ccm umetaja kuwa chato ujengwe uwanja wa ndege?

Any way mama atatawala hadi 2035 ,atake asitake tutamlazimisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katiba sio msaafu
 
Mkuu kazi ya "Mungu haina makosa".
Hizi ni zama za mama, usijisahalishe kuwa Ilani ya CCM 2015 ilielekeza kuendeleza mchakato wa Katiba lakini marehemu aliikana.

Najua bado huamini kilichotokea, lakini hakuna namna, mwache mama afanye kazi uamuzi wa kumpa au kutompa kura ni wako.
 
Back
Top Bottom