Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Si nasikia kuna TIMU CHATO ambayo inamikakati ya kukwamisha mama na kumkosoa kwa kila afanyacho eti kisa kaanza kueleza ukweli wa yale yaliyo kuwa yanatendeka sirini, naona mmeanza kazi sasa.
Kuna I'd mpya kibao jf, na zote zimeanza kumkosoa Mama
 
Marehemu POMBE amefanya lipi la kukumbukwa? Kwann usijiulize kwann watanzania wamemshahau mapema kiasi hiki?.
Hii nchi imejitemegea lini bila kutegemea nchi wahisani? Wewe ni lofa Tu uliyeishiwa mipango, MUNGU aliyemwondoa magufuli ndiyo anajua na ndiye aliyepanga haya yote
 
Hawa Wanaomsifia sasa ndo hao hao Watakaomnanga........Kama Enzi za Mzee Wa Msoga...! Tunaikumbuka ile Kauli Ya ' Raisi Dhaifu' ilitokea Wapi....!
 
Kijijini kwetu huwa hatutongozi demu siku ya mnada (jumamosi) wote huonekana wazuri siku hiyo. Maraisi wengi hupambwa mwanzoni naamini ni mapema mno kumkubali lakini pia kumkataa.
Time will tell
 
Back
Top Bottom