Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Eti hutaki siasa,kijana siasa ni maisha na maisha ni siasa,kwenye siasa ndipo watu hutoa mawazo yao mbadala mlinganisho wa hoja kwa hoja kwa makundi yote.

Yesu mwenyewe alipokuja duniani alikuta Siasa,na Mamlaka yote aliyo kuwa nayo aliicha kama ilivyo.
 
Marehemu POMBE amefanya lipi la kukumbukwa? Kwann usijiulize kwann watanzania wamemshahau mapema kiasi hiki?.
Hii nchi imejitemegea lini bila kutegemea nchi wahisani? Wewe ni lofa Tu uliyeishiwa mipango, MUNGU aliyemwondoa magufuli ndiyo anajua na ndiye aliyepanga haya yote


Kwa sababu hatujawahi kujitegemea,hiyo inatufanya tusijaribu kutaka kujitegemea?...kwamba tuendelee tu kuwa tegemezi milele na milele?hao wanaojitegemea Leo hii waliwezaje?
 
Kila nchi Duniani inalinda ajira za wananchi wake dhidi ya mashirika na kampuni za kigeni leo Tanzania mnaitagazia Dunia kuwa mnagawa vibali vya kazi kwa watu ambao mwekezaji anawaamini hakuna narudia tena hakuna Mwekezaji anayetaka kuajiri mtanzania kwa tabia zenu jiandaeni ajira zenu kuchukua Wakenya,Wazimbabwe,Wanyaruanda ,Waganda ,Wahindi na Wachina

Namuonea huruma Raisi ajae kwani atapambana na mabeberu wapya wa kiswahili ambazo tupo busy kuwaanzisha ... wacha mama afungue milango tu wataingia nzi,mbu,nzige ,vumbi na kila kitu pia naona mabeberu wameshajua jinsi ya kupush ajenda zao ni kuipressure serikali kupitia mitandao

Kuna ajira zinakuja za watu kutafuta vijana na kuwaweka sehemu na kila mtu kuwa na account 10 za Twitter wakiwa vijana 30 au 50 ni account 500 kwa siku kila mtu kutuma Tweets 10 kila account jumla ni tweets 5000 na serikali ilivyo kuwa ya kimtandaoni mpk usk wa manane wapo mitandaoni naona ajenda za watu zikipita kwa njia ya kimitandao si Bungeni (Lobbying) kama ilivykuwa zamani ... kwa maana serikali yenu ni sikivu na inataka kuwaridhisha wanamtandao itatekeleza nawambia namwambia watanzania hili nalo sema linakuja au lipo njiani kuja
 
Eti hutaki siasa,kijana siasa ni maisha na maisha ni siasa,kwenye siasa ndipo watu hutoa mawazo yao mbadala mlinganisho wa hoja kwa hoja kwa makundi yote.

Yesu mwenyewe alipokuja duniani alikuta Siasa,na Mamlaka yote aliyo kuwa nayo aliicha kama ilivyo.


Mkuu ni wazi kabisa haujanielewa hapo!!
 
Kwanini umekata tamaa kabla hata hajaanza? Suluhisho ni katiba mpya tu mkuu ndo tutayakwepa haya.
 
Yaani watanzania kufurahia uongozi wa mama wewe roho inakuuma. Kweli mashetani yanakufa lakini hayamaliziki.
 
Back
Top Bottom