Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Unaendeleaje kuelekea wapi?Uwanja wa ndege wa chato unaendeleaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaendeleaje kuelekea wapi?Uwanja wa ndege wa chato unaendeleaje?
Nimekuuliza wewe!Unaendeleaje kuelekea wapi?
Mkuu jenga hoja kwa maslahi mapana ya nchi,achana na chuki binafsi!!
Bado nipo optimistic na huyu mama kujali maslahi ya raia wake, maana bwana yule alikandamiza maslahi ya wengine ili mradi apate pesa ya kufanya white elephant project zake kama manunuzi ya ndege....
Kuna wapinzani wa Rais mama samia wameibuka ndani ya ccm magufuli , sijawahi kuwa saccos wala sehemu ya saccos ila nilikerwa na matendo ya magufuli pamoja kuwa nilikuwa namuunga mkono sana lakini alipo anza kupotoka sikuwa na haja ya kuwa mnafiki.Mama Samia ameshasema KAZI INAENDELEA! kwa hiyo kila kitu kinaendelea kama kawaida sasa nyinyi mnaoomba eti apige chini miradi ya ilani ya CCM mnapoteza muda wenu tu. Hangaikeni na Saccos yenu.
Hahahha kwa hzi Degree zenu za chupi na Mabinti kutegemea makalio yao baada ya akili kufanya kazi jiandaeni kupoteza ajira zaidi kwa maana hao wawekezaji wanabanwa na sheria sasa wameambiwa waajiri wale wanaowaamini so mwekezaji anaweza ajiri hata mfagiaji mkenya si ndo anamuamini ? Kwa tabia zenu za wizi,uvivu,uongo jiandaeni kupoteza zaidi
Kamlete stone wako awaweze tena watanzania. Imetoka hiyo mtaelewa tu.Uteuz mi wa kazi gani kuongoza vilaza kama wewe? Jiwe ndio aliyewaweza vichwa maji wa mfano wako.
Ujenzi wa uwanja wa kimataifa chato ipo ukurasa gani kwenye ilani ?Hayati JPM alifuata ilani kwa asilimia 100?
Mtu akifanya vizuri atasifiwa akifanya vibaya ataambiwa.hamuwezi kulazimisha watu wasifie tuu au waponde tuu.hii Tabia ipo kwetu ccmHawa Wanaomsifia sasa ndo hao hao Watakaomnanga........Kama Enzi za Mzee Wa Msoga...! Tunaikumbuka ile Kauli Ya ' Raisi Dhaifu' ilitokea Wapi....!
Vyombo vya usalama kazi yao ni kuongoza serikali? rudi ukasome civics vizuri.....Kwahiyo haupendi Maisha bora kwa kila mtanzania(enzi za jk)? Mlitaka nyie tu Sukuma gang mle bata? Mama anataka kurekebisha madudu yote aliyoyafanya MEKO yakasababisha uchumi upige mweleka.
Wewe utakua mental case..Kamlete stone wako awaweze tena watanzania. Imetoka hiyo mtaelewa tu.
Kushughurikiwa haijawahi kuwa njia ya kuondoa manung'uniko hata siku moja!!Mkileta nyenyenyeeee mtashughulikiwa tu. Mama anafanya yale ambayo watanzania wote wanapenda yafanyike bila kujali vyama vyao.
Roho mbaya itakuua. Nchi iko salama mikononi mwa mama.Mkuu upo sahihi sana,ndio maana nasema Mama hana uwezo wowote kiuongozi hana maono,hana misimamo ,ni mtu wa kuangalia upepo unaendaje kwenye mitandao, na kwa style yake hii anaenda kufeli vibaya!!
Mtanuna mwaka huu. Hameni nchi basi.Mama namuona akitupoteza. Sidhani kama atafanya maamuzi magumu ya yoyote kwa taifa zaidi ya kufurahisha genge. Na kwa spidi anayoenda nayo, Naona kaja na ajenda yake badala ya kusema anatekeleza ilani ya ccm.
very soon anaenda igawa ccm. Anaonekana ni mtu wa kufuata upepo watu wafurahi. Mpaka sasa sijamkubali.
huyu ndie karata ya upinzani kucheza nayo, wanamvuta akijaa bhaas. Hiyu ndiye anayeenda iua ccm na pia ndiye anayeenda weka mianya ya wajanja kuiibia tena nchi.