Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Unauwakika unamuuliza mtu sahihi au ndo uleule muendelezo wa ukilaza?Nimekuuliza wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauwakika unamuuliza mtu sahihi au ndo uleule muendelezo wa ukilaza?Nimekuuliza wewe!
Wakati wa Magu uliyaelewa? Mshamba ni wewe na magufuli wako.Kushughurikiwa haijawahi kuwa njia ya kuondoa manung'uniko hata siku moja!!
Nimejiridhisha kuwa wewe ni bonge la mshamba usiyeelewa nini maana mawazo kinzani!!
Hoja hujibiwa Kwa hoja sio
Kwanza jitahidi kuelewa jambo lolote kabla ya kulizungumzia mkuu,Acha kuendeshwa na mihemko,pili wewe unajitokeza hapa bila aibu kusema zama za JK maisha yalikuwa bora kwa kila Mtanzania?
Kaka unaonekana ni masikini ambaye hujazoea raha. Yaani unajiskia hatia kuona nchi imeanza kwenda kiulaini na watu wameanza kupata furaha na faraja. Maendeleo sio lazima mkunjiane sure na kukasirikiana muda wote. Relax brother
Leta takwimu si propaganda za wahuni wa mitandaoni niambie ni serikali gani duniani inaajiri Graduate wote wanaomaliza Chuo? Tanzania ina vyuo 43 ambavyo vyote vinatoa wanafunzi kila mwaka je ni watu wangapi kwa mwaka wanahitimu kuanzia Degree mpk Certificate ? je hao wote serikali gani Duniani inaweza kuwapa ajira wote?Jibu swali kama mlilinda ajira za wazawa kwa nini kwenye kipindi cha huyo fedhuli wenu magufuli ndo vijana wengi kutoka vyuoni walikosa ajira na watu wengi waliokuwa kwenye ajira walipoteza kazi zao kutokana na makampuni na biashara kufa???
Huyu na Magufuli nani alibana?Ccm mlizoea dili sasa mnaharisha mnakula mharo wenu maana mama kawabana sehemu zote za kutolea hewa kawaachia masikio tu sasa mnajambia masikioni
Kata hata gogo tuu watatoa ndugu zako akiwemo mkeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kwa kweli nimeshakata tamaa..
Well sisi watu wa pwani hatuna hulka ya kwenda haja kiholela kama nyie..Kata hata gogo tuu watatoa ndugu zako akiwemo mkeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anatufaa?Sasa moja kwa moja kwenye mada husika,tangu huyu Mama aingie madarakani nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wake,ingawa kweli ni mapema sana kuanza kumtolea hukumu,lakini nachelea kusema huyu Mama HATUFAI hata kidogo especially kwa wale tunaotaka kuona Tanzania inapiga hatua za kweli za kimaendeleo na sio siasa,
Kwa sasa nisingependa kuongea mengi ila ninachoweza kusema ni kwamba HAJUI Taifa hili linataka nini ili kujikomboa,anaonekana ni mtu wa KUFURAHISHA watu tu,bila kujali hii inchi inaathirika au inafaidika vp na anachokifanya,nauona mtindo wa utawala wa Kikwete ukijirudia kwa kasi sana nchini,
Ni dhahiri mpaka sasa huyu Mama anafanya mambo kwa kupangiwa au kuchukuliwa na upepo tu wa kwenye mitandao ya kijamii lakini yeye binafsi hana mipamgo na maono yoyote ya kueleweka juu ya Tanzania.
Nina mashaka hata kama miradi iliyokua inafanywa ataikamilisha..Mama amekaa na jiwe miaka mitano. Anajua nchi inavyoendeshwa kuliko wewe. Anachokifanya anakijua. Mazuri yaliyokuwepo na mabaya yaliyokuwepo anayajua.