Sayyid Khalifa
Senior Member
- Jun 8, 2018
- 113
- 217
Sisi tunachotaka ni mzunguko wa pesa utufikie sisi walalahoi na makambela. Hayo mengine tunakuachia mwenyewe. Kama wewe hutompigia kura eti kwasababu raisi ameruhusu pesa mtaani,sisi tutampigia kwa kishindo 2025. WEWE NI HASIDI KAMA MAHASIDI WENGINE NA SIKU ZOTE HASIDI HANA SABABU. Tunampenda raisi wetu na tuko tayari kukpigania kwa nguvu zote.