Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Team Burigi hebu tulieni kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli haihitaji 'muda' kujitenga na kweli..Ni mapema mno kukata tamaa. Na ni muhimu sana afanikiwe maana this will shape history ya wanawake kwenye uongozi wa juu Tanzania.
Ulikuwa utawala wa majambazi sasa umepita wanapoteanaHamkutegemea kuwa nchi itatoka mikononi mwa wahuni mapema hivi
Rudiini mapangoni mlikokuwa muache kutupigia makelele
Hakuna aliyepotena kwani SSH atabaki kuwa mwana CCM na anatekeleza ilani ya CCM na watanzania walimtuma yeye na JPM kutufanyia kazi watanzaniaDk ya 2 mmeanza kupoteana.
Wewe nikilaza mkubwa sisi asipotekeleza Yale ya kwenye ila sawa sasa hivi tunataka faraja kwa madhila tuliyopitia miaka mitano ya jitu lile lenye roho mbaya utafikiri hakuzaliwa na mwanadamuMimi namshangaa sana Mama.....cheap popularity itammaliza
Sisi wote ni watanzania tunataka Tanzania yenye furaha na amani kwa watu wake bila kujali vyama vyetu sio kule alikokuwa anatupeleka yule tapeli wa siasaWale tuliokua tunawaita nyumbu naona sasa ndo wako na mama. Maneno yao ya kejeli na ushabiki tu. Kinachonisikitisha hakuna chama cha upinzani serious ila kama kitakuja kuwepo ntakupigia kura za hasiraaaa
Muda utaongea.Suala la kukusanya kodi kwa kubembelezana, mcheza na nyani siku zote uvuna mabuwa.
Hatuna mazoea au tabia ya kulipa kodi bila ya shuruti.
Umetoa tuhuma kubwa sana, bila hata kuitetea.Sasa moja kwa moja kwenye mada husika,tangu huyu Mama aingie madarakani nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wake,ingawa kweli ni mapema sana kuanza kumtolea hukumu,lakini nachelea kusema huyu Mama HATUFAI hata kidogo especially kwa wale tunaotaka kuona Tanzania inapiga hatua za kweli za kimaendeleo na sio siasa,
Kwa sasa nisingependa kuongea mengi ila ninachoweza kusema ni kwamba HAJUI Taifa hili linataka nini ili kujikomboa,anaonekana ni mtu wa KUFURAHISHA watu tu,bila kujali hii inchi inaathirika au inafaidika vp na anachokifanya,nauona mtindo wa utawala wa Kikwete ukijirudia kwa kasi sana nchini,
Ni dhahiri mpaka sasa huyu Mama anafanya mambo kwa kupangiwa au kuchukuliwa na upepo tu wa kwenye mitandao ya kijamii lakini yeye binafsi hana mipamgo na maono yoyote ya kueleweka juu ya Tanzania.
😃😃Mimi kwa kweli nimeshakata tamaa..
Wewe unajua nn?Kaa kimya....hujui unachokisema
Wapo watu waliamishwa kwamba tupo kisiwani. Hatupo kisiwani. Nilofarijika sana kisikia kabidi siyo wazir wa mambo ya nje. Ni mpumbavu tu awezaye kuhubir kuhisu Ubeberu leo.Wee ukianza kutongoza Mwanamke kumuoa unaanza kumshawishi kwa kutaja furaha za ndoa au changamoto?
Sasa hivi tuna changamoto kubwa ya kurudisha Uwekezaji na njia bora ni kuwaaminisha mazingira kuwa yameboreshwa sio kuanza kuwapa maangalizo
Mnataka aendelee na yale maneno ya hovyohvyo ya kuogopesha hadhira maana ndiyo mliyozoeaAnatufaa kwa sababu anaongea maneno matamu matamu aliyoandikiwa ili kufurahisha hadhira?
Hakuna mtego wowote sababu yeye sio muamuzi wa mwisho,mambo yatajadiliwa kama hayatufai tunaachana nayo,na ndio sababu watu walikuwa wanahimiza kupatikane taasisi strong sio mtu strong maana watu tunapita lakini taasisi zinabaki,hiki sasa ni kidagaa kimewa....Wawekezaji wakubwa amekiri wameshaanza kumpigia simu yeye DIRECTLY huko ikulu, what the **** is this. Anajua mtego anaonasa hapa au kafanya makusudi kwa kigezo cha anakaribiaha wawekezaji?