Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Njia ya kwenda kwako ina mashimo, mnachimba madini gani hapo!?
Utawala wa JK nauona tayari, na nchi itarudi kuwa mashimo kama ataruhu madini yachimbwe hata kwenye hifadhi za wanyama[emoji35]
 
Sawa jamaa amekopa pesa nyingi ndani ya muda mfupi,shida iko wapi ikiwa hiyo hela inapelekwa kwenye projects zinazolenga kuikwamua hii nchi kiuchumi ndani ya muda mfupi?..sasa vp wale waliokuwa wanakopa kwa jina la nchi then pesa zenyewe karibu zote zinaishia kwenye mifuko yao binafsi
Project ya uwanja wa ndege chato inakwamua nchi vipi kiuchumi???
 
Utawala wa JK nauona tayari, na nchi itarudi kuwa mashimo kama ataruhu madini yachimbwe hata kwenye hifadhi za wanyama[emoji35]
Mimi hili sikuelewa vizuri na sikumsikia SSH akilisema ila wachimbaji walilisema. Hivyo wanyama kwenye hifadhi watahamishwa???
 
Suala la kukusanya kodi kwa kubembelezana, mcheza na nyani siku zote uvuna mabuwa.

Hatuna mazoea au tabia ya kulipa kodi bila ya shuruti.
 
Kwani Kikwete aliwezaje?? Unadhani watu wanaongea masikhara??? Fedhuli wenu kaua sekta binafsi kafanya wakimbie na kafukuza maelfu ya watu kazi bila kuajiri upya huko ndo kujenga uchumi???
Leta takwimu si propaganda za wahuni wa mitandaoni niambie ni serikali gani duniani inaajiri Graduate wote wanaomaliza Chuo? Tanzania ina vyuo 43 ambavyo vyote vinatoa wanafunzi kila mwaka je ni watu wangapi kwa mwaka wanahitimu kuanzia Degree mpk Certificate je hao wate serikali gani Dunia inaweza kuwapa ajira wote?
 
Bado ni mapema sana kumpima na kusema hawezi

Tumwache apange serikali kazi huwa haiongopi
 
Hawa Wanaomsifia sasa ndo hao hao Watakaomnanga........Kama Enzi za Mzee Wa Msoga...! Tunaikumbuka ile Kauli Ya ' Raisi Dhaifu' ilitokea Wapi....!
Utakoma, mpaka mama amalize muda wake, utakuwa haupo!
 
..msimtishe mama.

..mkumbuke kwamba suala la mama kushindwa uchaguzi ni yeye tu kuamua iwe hivyo.

..kwani unadhani nini kitamzuia kupora uchaguzi kama alivyofanya mtangulizi wake?

..mara hii umeshasahau kwamba ccm ni chama DOLA?

cc tindo
 
Kwa kikwete mambo yalikuwa mazuri hasa hasa na kama mama naye atarudi kule kwa kikwete basi nadhani nchi inaenda kuneemeka kabisa

Lakini namuomba mungu baba mwenyezi, nchi hii isipate tena rais mwenye sifa kama za magufuli narudia tena kwa herufi kubwa

NAMUOMBA MUNGU TANZANIA ISIJE IKAPATA TENA RAIS JAMII YA MAGUFULI .
 
Kwani Kikwete aliwezaje?? Unadhani watu wanaongea masikhara??? Fedhuli wenu kaua sekta binafsi kafanya wakimbie na kafukuza maelfu ya watu kazi bila kuajiri upya huko ndo kujenga uchumi???
Aliekwambia uchumi unajengwa kwa watu kuajiriwa? Nitajie nchi ambayo wananchi wake wote wana ajira unasema ameua sector binafsi leta mifano si kusema tu .Nitajie sector binafsi ambayo inafanya shuguli zake Tanzania imekimbia waliokimbia ni wakwepa kodi na makampuni ya kitapeli lakini kama ulikuwa unafanya shuguli zako vzr huwezi kuondoka kwani sheria ni zile zile

Mbona hatukuona makampuni ya madini yakikimbia tena yenyewe ndo yalikuwa yanatuibia kwelikweli .Mbona hatujaona sigara,makampuni ya simu ,makampuni ya vinywaji yakikimbia acheni mambo yenu bhana rudini mmeambiwa rudini milango ipo wazi njoeni mwenye shamba hayupo .
 
Mama keshaonyesha kutakua na mianya, hivyo ukipata fursa wewe kusanya chako kwa ajili yako na familia yako.
watu walikua wanaiweka nchi sehemu sahihi yeye anakuja na approach za furahisha genge.
Nimemuelewa point blank. #soldout
 
Back
Top Bottom