Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kushughurikiwa haijawahi kuwa njia ya kuondoa manung'uniko hata siku moja!!

Nimejiridhisha kuwa wewe ni bonge la mshamba usiyeelewa nini maana mawazo kinzani!!

Hoja hujibiwa Kwa hoja sio
Wakati wa Magu uliyaelewa? Mshamba ni wewe na magufuli wako.
 
Umeongea umatako mzee zama za nyie wajinga zilishalipita [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]

Saiv mnatembelea lim hadi mnye maaaaaameeeee!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwanza jitahidi kuelewa jambo lolote kabla ya kulizungumzia mkuu,Acha kuendeshwa na mihemko,pili wewe unajitokeza hapa bila aibu kusema zama za JK maisha yalikuwa bora kwa kila Mtanzania?

Nimeelewa ndio maana nimekujibu , rais ndio amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ,yeye ndio mwenyekiti ngazi ya taifa,sasa unavyosema vyombo vya ulinzi vichukue hatua ina maana ajichuklie yeye hatua?

Enzi za JK maisha yalikuwa mazuri kwa kila mtanzania ukilinganisha na enzi za Msukuma mwenzako,kipindi kile ukitangaza kuuza kiwanja haizidi wiki mbili ushapata mteja,kipindi cha JK ukianza kuchimba msingi tu wa kujenga fremu tu wanajitokeza wadau kulipia fremu zote na wanalipa mwaka mzima,kipindi cha Jk hauwezi kuona sijui matangazo ya house for rent,kipindi cha JK mzunguko wa fedha ulikuwa mkubwa,ukiwekeza bishara yeyote tu imooooooo.

Alivoingia ngosha wenu tu kavuruga kila kitu.
 
We umeweza kwa familia yako!!?

Acheni ujinga Jf

Ujuaji mwingi wakati unategemea mwisho wa mwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka unaonekana ni masikini ambaye hujazoea raha. Yaani unajiskia hatia kuona nchi imeanza kwenda kiulaini na watu wameanza kupata furaha na faraja. Maendeleo sio lazima mkunjiane sure na kukasirikiana muda wote. Relax brother

Yaani ana mentality za Meko ya kutaka matajiri waishi kama mashetani ,furaha ya mtoa mada hataki watu waanze kupata kipato kama enzi za JK ,anataka waonekane wao tu SUKUMA GANG wakila bata town.
 
Jibu swali kama mlilinda ajira za wazawa kwa nini kwenye kipindi cha huyo fedhuli wenu magufuli ndo vijana wengi kutoka vyuoni walikosa ajira na watu wengi waliokuwa kwenye ajira walipoteza kazi zao kutokana na makampuni na biashara kufa???
Leta takwimu si propaganda za wahuni wa mitandaoni niambie ni serikali gani duniani inaajiri Graduate wote wanaomaliza Chuo? Tanzania ina vyuo 43 ambavyo vyote vinatoa wanafunzi kila mwaka je ni watu wangapi kwa mwaka wanahitimu kuanzia Degree mpk Certificate ? je hao wote serikali gani Duniani inaweza kuwapa ajira wote?
 
Ccm mlizoea dili sasa mnaharisha mnakula mharo wenu maana mama kawabana sehemu zote za kutolea hewa kawaachia masikio tu sasa mnajambia masikioni
Huyu na Magufuli nani alibana?

Fikiri kwanza
 
Mimi kwa kweli nimeshakata tamaa..
Kata hata gogo tuu watatoa ndugu zako akiwemo mkeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama yupo smart sana subir kidogo mipango yake ianze Ku tik
Kuongea hzo habar n uchaw
 
Sasa moja kwa moja kwenye mada husika,tangu huyu Mama aingie madarakani nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wake,ingawa kweli ni mapema sana kuanza kumtolea hukumu,lakini nachelea kusema huyu Mama HATUFAI hata kidogo especially kwa wale tunaotaka kuona Tanzania inapiga hatua za kweli za kimaendeleo na sio siasa,

Kwa sasa nisingependa kuongea mengi ila ninachoweza kusema ni kwamba HAJUI Taifa hili linataka nini ili kujikomboa,anaonekana ni mtu wa KUFURAHISHA watu tu,bila kujali hii inchi inaathirika au inafaidika vp na anachokifanya,nauona mtindo wa utawala wa Kikwete ukijirudia kwa kasi sana nchini,

Ni dhahiri mpaka sasa huyu Mama anafanya mambo kwa kupangiwa au kuchukuliwa na upepo tu wa kwenye mitandao ya kijamii lakini yeye binafsi hana mipamgo na maono yoyote ya kueleweka juu ya Tanzania.
Nani anatufaa?
 
Mama amekaa na jiwe miaka mitano. Anajua nchi inavyoendeshwa kuliko wewe. Anachokifanya anakijua. Mazuri yaliyokuwepo na mabaya yaliyokuwepo anayajua.
Nina mashaka hata kama miradi iliyokua inafanywa ataikamilisha..
 
Back
Top Bottom