Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mkuu upo sahihi sana,ndio maana nasema Mama hana uwezo wowote kiuongozi hana maono,hana misimamo ,ni mtu wa kuangalia upepo unaendaje kwenye mitandao, na kwa style yake hii anaenda kufeli vibaya!!
 
Wanufaika wa Jiwe mnaanza kumponda Madame President. Jiwe ameshaenda kubalini matokeo. Nini alichofanya zaidi ya kuumiza wananchi? Hiyo miradi aliyoachiwa na Jakaya?
 
Hii serikali sio ya marehemu dikiteta magufuli, mambo ya kutishanatishana hatutaki.
 
Hawa Wanaomsifia sasa ndo hao hao Watakaomnanga........Kama Enzi za Mzee Wa Msoga...! Tunaikumbuka ile Kauli Ya ' Raisi Dhaifu' ilitokea Wapi....!
Kumsifia mtu haikufungi kumkosoa. Akifanya vyema unamsifia akikosea unamkosoa. Au wewe ubongo wako unasemaje?
 
Mama amekaa na jiwe miaka mitano. Anajua nchi inavyoendeshwa kuliko wewe. Anachokifanya anakijua. Mazuri yaliyokuwepo na member: 73501"]
Mama amekaa na jiwe miaka mitano. Anajua nchi inavyoendeshwa kuliko wewe. Anachokifanya anakijua. Mazuri yaliyokuwepo na mabaya yaliyokuwepo anayajua.


Ni matumaini yangu upo sahihi katika hili,wengine hatuandiki humu kimajungu,ila ni kutaka kuona hii nchi inasonga mbele kimaendeleo!!
 
binafsi naona anafanya kazi ya kuwafurahisha watu ...ni suala muda tu nadhani kila kitu kitajitenga ktk uhalisia ....hii ni picha kamili ya utawala wa jakaya kujirudia
pia ana-act kama hakuwa no. 2 vile..very strange strategy, myopic & very costly!
 
Mkuu upo sahihi sana,ndio maana nasema Mama hana uwezo wowote kiuongozi hana maono,hana misimamo ,ni mtu wa kuangalia upepo unaendaje kwenye mitandao, na kwa style yake hii anaenda kufeli vibaya!!
Watu wameshajua udhaifu wa mama JPM si kwamba alikuwa achungulii mtandaoni alikuwa anachungulia sana ila alikuwa anachukua hatua siku zimepita hata kama mawazo yametoka mtandaoni.

Lakini hili la kuchukua hatua haraka haraka na mtu kusema analala usk wa manane kuangalia mtandaoni baada ya kukagua CV za watu ambao anawateua.

Soon tutegemee ajenda za wasiotakia mema Tanzania kupitishia ajenda zao huko huko kwenye mtandao kwa hesabu ndogo tu tafuta vijana 50 kila mmoja ana account 10 kwa siku wanatuma Tweets 10 kila mmoja 10x10x50=5000 mara wiki siku 7 sawa na Tweets 35000 then wanamnunua mmoja kati ya hawa mashangazi wa taifa serikali inaona watu wengi wanasapport na kuchukua hatua Boom ajenda inapita kumbe ni kundi la watu wenye laptop na smartphone tu wanafanya yao sehemu .
 
Leo mataga wamepigwa za mbavu nyingi sana kuliko siku zote, wameamua kuja huku kuanzisha nyuzi hahahaa.
Tulieni mlizoea data za kupikwa mlikua mnashangilia uozo yani mlifanywa mabongolala roho zinawauma kweli. Hamieni msumbiji kama mnaona hataweza kuongoza shubamiiti.
 
Kwa Sera zenu mbovu Mbona ndo mmetengeneza Tatizo kubwa sana la ajira nchini maana vijana waliomaliza vyuo mwaka 2015 hawakupata ajira kwa miaka 5???

Kama mlikuwa mnalinda ajira za wazawa Mbona wazawa wengi ndo wamepoteza kazi na ajira kutokana na kampuni na biashara nyingi kufungwa kwenye hicho kipindi cha magufuli wenu kuliko kipindi chochote kile hapa nchini????
 
Mwendazake pia alikuwa anafurahisha watu.
Kama akina Sabaya,bashite,gwajima,jaffo .nk
Jamii ya Chato ilifurahi kwa upendeleo ule


Sio kweli mkuu,JPM hakufanya maamuzi kwa kuangalia hao uliowataja wanataka nini,pengine ni sahihi kusema hao watu walifanya maamuzi kwa kuangalia kiongozi wao anataka nini !!
 
Back
Top Bottom