zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kitu ambacho hufahamu JPM alipenda kuonekana perfect and invulnerable so angeruhusu Samia ajiuzulu au amkate second round ingeonyesha kuna tatizo kati yao na vitu hivo hakutaka.Hizo ni porojo za vijiweni. JPM hakuwa mtu wa kubembeleza mtu mwingine. Hata uchaguzi wa term ya pili ilikuwa fursa nzuri ya Samia kujiengua, kama angetaka!
Ndio maana akiugusa anakanusha, kifo walikanusha, Corona kuwepo TZ walipinga, biashara kufungwa walipinga, CCM wakashinda majimbo yote hayo yote kuonekana perfect ili tu apate Authority na Credibility ya kuogopwa na kutawala.
That was JPM otherwise Rais asingejaribu kukosoa legacy za mzee. Hyo audacity angetoa wapi?