Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama Samia ameonesha udhaifu wa kiwango cha PhD na amekuwa mfano mbaya kabisa kwa mawaziri wake. Bila shaka, Rais anawaambia mawaziri na taifa zima kwamba unafiki katika Serikali unakubalika. Yumukini mfano wa unafiki aliouonesha ni silaha ambayo wateule wake hawatasita kuitumia dhidi yake. Inasikitisha, to say the least!
nakuunga mkono hata kama alimchukia sana mwenda zake apime kaurizake yake maana bado kuna watu wengi bado wanaona mwendazake alikuwa sahihi kwenye baadhi ya mambo, matendo yawe mengi kuliko maneno asionyeshe yeye ndo mdomo wa kikwete ni mapema sana kwa wao kutangaza ushindi.Kama alivyokuwa mnafiki kwaJPM watakuwa wanafiki kwake nawachumia tumbo walisha msoma sasa ni mwendo wa kukashifu utawala uliopita ambao kwa hakika NI huu huu wake na aliyeondoka ni , sioni tofauti maana hata yeye anatumia vitisho kwa sauti Nyororo mimi nbado nampamuda maana madaraka siku za mwanzo ni sawa na new money mpaka uzoee (New Money Spends by Trends, Old Money Spends by Tradition)
[/QUOTE]
Hakuna uhai baada ya umauti. Aliyekufa kafa. Mwacheni mama apige kazi akiwa na maono yake mapya. JPM angelikuwa hana maono mapya angelifanya aliyoyafanya?
Ni mpuuzi tu ambaye anaweza kuogopa kusawazisha makosa ya marehemu.
 
Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.

kwa hiyo Jiwe alivyofanya Watz wote mandondocha nyie MATAGA ndiyo ilikuwa furaha yenu?Kipindi cha Jiwe mlinufaika wachache wengi waliaumia.Watu karibu milioni 60 hatuwezi kuongozwa na mawazo ya mtu mmoja.Jiwe ameondoka na mambo yake yanazikwa rasmi!
 
Ni swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Na mtaemdelea kumuombea mabaya mpaka mkome.

Huyu ndie rais ambae hakutaka wala kufkiria kuwa rais, Mungu ndio amepanga na kumchagua awe yeye.

Unaposkia mtu amekufa na kijiba cha roho unajua maana yake???

Sasa huo muda unaouzungumzia kamwe hautofika na tumepanga kumuomba mama amalizie miaka yake 5 na achkue tena form 2025
 
Samia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
Awe jasiri na atueleze hilo kinagaubaga, la kutaka kujiuzulu.

Hakuna tena anayemwogopa sasa!

Lakini awe mwangalifu sana, kwani bado hana kiti cha Mwenyekiti wa Chama.

Hali inaweza kumuwia ngumu sana katika miaka minne hii.
 
Kwa hiyo ninyi MATAGAJiwe kupora ushindi kwenye uchaguzi mkuu mchana kweupe tena waziwazi kabisa mlikuwa mnaona sawa?Hebu mtuache tupumue sasa hivi.Jamaa alikanyaga katiba na utawala wa sheria.Tanzania kipindi cha Jiwe ilikuwa hakuna tofauti na ile kambi ya Sabibo/concetration camp!
 
Hii kauli ya mama sikuielewa kabisa!!

''KWA UAMUZI HUU NAJUA UCHUMI UTATIKISIKA LAKINI NAOMBA TUVUMILIE''

Je ni sahihi Rais kusababisha uchumi kuyumba tena kwa maksudi? Ili kimfurahisha nani? Kamwe kiongozi usiongoze ili kuwafurahisha unaowaongoza.
 
Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
Na mfanye mrudi huko Sengerema hahaahahaha.

Hali zenu ni mbaya sana
 
Mbona kila mtu ni mjuaji jf? Maneno kibao while mama hajafikisha hata mwaka. Hivi nyie mnaoshinda jf na wengine hata hamna uzoefu wa kuongoza nyumba kumi mnapata wapi ujasiri wa kuona mama anatupoteza?
Mnataka mumpangie nini afanye na nini asifanye...duuh This is too much sasa
Mitaani kuna shida nyingi. Kitendo cha huyu Mama kuanza kulegeza maana yake kodi itapungua. Saivi ukienda hata dukani risiti ya manunuzi hupewi. Wafanyabiashara wameanza kukwepa kodi kwa kasi. Maana yake kodi itapungua na kutekeleza mahitaji ya jamii atashindwa. Matajiri wachache watakula keki ya nchi.
 
Nawaona Burundi Gang na Sukuma Gang kwenye ubora wenu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tukieni tu, nchi imerudi kwa Watanzania. Ufedhuli wenu pelekeni Chato. Mtaanzisha sana thread Safari hii ila kwa kuwasaidia tu, nawashauri nafuteni kwa wingi juice ya ndimu na malimao muwe mnakunywa sana. Mama Samia ndo Rais wa JMT na anafanya vizuri sana
Tena anafanya beyond expectations
 
Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Kwa hizi frustrations zenu kuna mnachoficha na si cha maslahi ya nchi kwa ujumla wake bali ni kwenu binafsi au kundi fulani.
 
Meko alikuwa haambiliki kwahiyo waliacha jumba bovu limuangukie,
 
Unaweza kua specific labda kuhusu Unafiki wa Samiah? Wapi exactly alifanya unafiki? N aalisema nini?
 
Back
Top Bottom