Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Amewagusa panapouma zaidi. Hawaamini majicho yao.Aisee nyie mataga pori huyu Mama amewakosea nini ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amewagusa panapouma zaidi. Hawaamini majicho yao.Aisee nyie mataga pori huyu Mama amewakosea nini ???
nakuunga mkono hata kama alimchukia sana mwenda zake apime kaurizake yake maana bado kuna watu wengi bado wanaona mwendazake alikuwa sahihi kwenye baadhi ya mambo, matendo yawe mengi kuliko maneno asionyeshe yeye ndo mdomo wa kikwete ni mapema sana kwa wao kutangaza ushindi.Kama alivyokuwa mnafiki kwaJPM watakuwa wanafiki kwake nawachumia tumbo walisha msoma sasa ni mwendo wa kukashifu utawala uliopita ambao kwa hakika NI huu huu wake na aliyeondoka ni , sioni tofauti maana hata yeye anatumia vitisho kwa sauti Nyororo mimi nbado nampamuda maana madaraka siku za mwanzo ni sawa na new money mpaka uzoee (New Money Spends by Trends, Old Money Spends by Tradition)Mama Samia ameonesha udhaifu wa kiwango cha PhD na amekuwa mfano mbaya kabisa kwa mawaziri wake. Bila shaka, Rais anawaambia mawaziri na taifa zima kwamba unafiki katika Serikali unakubalika. Yumukini mfano wa unafiki aliouonesha ni silaha ambayo wateule wake hawatasita kuitumia dhidi yake. Inasikitisha, to say the least!
Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
Na mtaemdelea kumuombea mabaya mpaka mkome.Ni swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Hebu tuambie wewe na hao MATAGA wenzio hii nchi inataka nini kwa sasa???Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Awe jasiri na atueleze hilo kinagaubaga, la kutaka kujiuzulu.Samia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
Na zitazidi kuwauma.Wasukuma roho zinawauma
Kwani wewe unataka kupelekwa wapi?Huyu mama ataongoza kama kiongozi wa kawaida.
Sidhani kama ana vision.
ie anataka kutupeleka wapi katika levo za kiuchumi.
Ushawahi kuwa kiongozi katika ngazi yoyote ile??Kama kuna kitu hakikuwa sawa, lakini alishindwa kujitenga nacho, hana namna sahihi ya kukikana isipokuwa unafiki! Where’s collective responsibility?
Na mfanye mrudi huko Sengerema hahaahahaha.Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
Mitaani kuna shida nyingi. Kitendo cha huyu Mama kuanza kulegeza maana yake kodi itapungua. Saivi ukienda hata dukani risiti ya manunuzi hupewi. Wafanyabiashara wameanza kukwepa kodi kwa kasi. Maana yake kodi itapungua na kutekeleza mahitaji ya jamii atashindwa. Matajiri wachache watakula keki ya nchi.Mbona kila mtu ni mjuaji jf? Maneno kibao while mama hajafikisha hata mwaka. Hivi nyie mnaoshinda jf na wengine hata hamna uzoefu wa kuongoza nyumba kumi mnapata wapi ujasiri wa kuona mama anatupoteza?
Mnataka mumpangie nini afanye na nini asifanye...duuh This is too much sasa
Tena anafanya beyond expectationsNawaona Burundi Gang na Sukuma Gang kwenye ubora wenu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Tukieni tu, nchi imerudi kwa Watanzania. Ufedhuli wenu pelekeni Chato. Mtaanzisha sana thread Safari hii ila kwa kuwasaidia tu, nawashauri nafuteni kwa wingi juice ya ndimu na malimao muwe mnakunywa sana. Mama Samia ndo Rais wa JMT na anafanya vizuri sana
Kwa hizi frustrations zenu kuna mnachoficha na si cha maslahi ya nchi kwa ujumla wake bali ni kwenu binafsi au kundi fulani.Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Kwahiyo yeye kusema Mama Samia ndio rais wa JMT ndio hallucination???Acha hallucinations..hoja hujibiwa kwa hoja si vioja na maneno ya saluni..
Magufuli angekuwa kiongozi mzuri kama angetawala wakati wa vita baridi.Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!