Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Enyi kina bashiru, muda wa kusifia na kuabudu umepitwa na wakatiNyie ndio miuza ngada.....
mijizi mitupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enyi kina bashiru, muda wa kusifia na kuabudu umepitwa na wakatiNyie ndio miuza ngada.....
mijizi mitupu
Mama bwana anawaacha sana watendaji wake hewani.Unapompa mtendaji jukumu ni lazima kuwe na specifics and time line.Unapaswa pia kusema kama hakutimiza consequences ni nini kufuatana na sheria.Maneno "kaangalieni kama inawezekana," ni too vague.She is in short too general and soft,kitu ambacho hakifai kwa mtendaji mkuu.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Mama Samia ndiye Rais. Yaliyopita yamepita. Tugange yajayo.Baadhi ya kauli ambazo tumezisikia kutoka kwa Mama Samia na viongozi wengine fulani waliohudumu chini ya JPM zinaonesha kwamba hao viongozi walikuwa wanahubiri na kusimamia wasichokiamini. Kitendo hicho cha kuhubiri na kusimamia wasichokiamini kilikuwa unafiki na utovu mkubwa wa nidhamu kwa wapigakura wa nchi hii. Hili limenikumbusha hata ule utovu wa nidhamu ambao VP na PM waliuonesha wiki nne zilizopita kwa kuwapa wapigakura salaam hewa kutoka kwa Hayati JPM ilhali wakijua JPM alikuwa mahututi ndani ya ICU.
Katika utumishi, sio kitu cha ajabu kuwa na tofauti za kimtazamo juu ya jambo fulani. Hata hivyo, inapotokea kwamba VP au waziri anaamini tofauti za kimtazamo zilizopo kati yake na Rais, juu ya jambo hilo, ni kubwa sana na hazivumiliki endapo Rais atakataa ushauri wake, basi ni bora akajitenga na msimamo wa Rais kwa kujiuzulu.
VP au waziri akishindwa kujitenga na kitu ambacho anaamini kinaumiza maslahi ya taifa, VP au waziri huyo anakuwa ameonesha udhaifu mkubwa sana wa kiuongozi. Kiongozi lazima awe na ujasiri wa kusimama upande wa haki hata kama kufanya hivyo maana yake ni kupoteza kazi. Vinginevyo, huyo hafai kabisa kushika dhamana kubwa kama hiyo.
Needless to say, VP au waziri anayehubiri na kusimamia asichokiamini hawezi hata kuweka kiasi sahihi cha juhudi inayohitajika kufikia malengo yaliyotarajiwa. Kwa maneno mengine, yeye anageuka kuwa VP au waziri mzigo.
Mama Samia ameonesha udhaifu wa kiwango cha PhD na amekuwa mfano mbaya kabisa kwa mawaziri wake. Bila shaka, Rais anawaambia mawaziri na taifa zima kwamba unafiki katika Serikali unakubalika. Yumukini mfano wa unafiki aliouonesha ni silaha ambayo wateule wake hawatasita kuitumia dhidi yake. Inasikitisha, to say the least!
Naona MATAGA mmefungua ID nyingi ili mumpinge mama.
Rais wenu Jiwe alishakufa
Hivi nani aliyekuwa na Ubavu wa kuzungumza au kumpinga jiwe? Yeye mwenyewe alishasema hapingiwi kwa hiyo unategemea wangefanyaje? zaidi ya kwenda na muziki wa jiwe huku wakiumia roho.
You are now pressed between a rock and hard surface.ALIKUWA MNAFIKI NA MATAGA NO. 1
Kweli kabisa , mama oyeeeNadhani Mada yako ni ishara ya chuki binafsi dhiti ya mama yetu.... Na tambua maneno yako ni matunda ya Uhuru uliopewa na Mama yetu rais Samia
Zama zenu zilikuwa na vision ganiHakuna vision hapo.
Zile zama za awamu ya 4,3 & 2 zinarudi rasmi.
Jiwe alikua na vision gani zaidi ya kuua uchumi na kuongeza umasikiniHuyu mama ataongoza kama kiongozi wa kawaida.
Sidhani kama ana vision.
ie anataka kutupeleka wapi katika levo za kiuchumi.
Mtapata tabu Sana[emoji1][emoji116]Ni swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Yatima hadeki [emoji1][emoji116]Wasukuma roho zinawauma
Hii Inaitwa ROBA YA MBAO, kila ulichokimeza utakitema[emoji1][emoji116]sijasoma yote nkamaliza, lakini nahisi hapa kuna harufu kali ya mataga wa lumumba wakiwa hoi kwa matamko machache tu ya bi mkubwa.
hizi sio zama za matambio, angalieni mwenzenu comrade kigwanga la ameshasoma upepo na anaenda na biti la uviko 21
Huyu Chidi ndio yule niliyemsikia mjengoni akitowa sifa kebekebe akisema Samia ni konki fire akim-quote mtanzania Pierre au ni mwingine?Askofu Chidi na genge lako naona mnafika mbali sasa,kama hamukubali uongozi wa Rais Samia basi hameni nchi. Wewe uliacha uchungaji kuja kwenye siasa ili utimize ile ndoto yako ya kuwa na Taifa la Wasukuma,polisi walikukamata kisha wakakuachia kumbe mlikuwa na malengo ya muda mrefu kuivuruga nchi.