Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

..Samia hajui maana ya 4R ndio maana utekelezaji wake ni sifuri.
Sifuri kwako mwenye akili sifuri usiyeweza kutambua mambo. Kungekuwa hakuna utekelezaji wa 4R ungeona wapi maandamano yakifanyika mabarabarani huku hakupewa ulinzi na jeshi la polisi?ungeona wapi watu wa vyama mbalimbali vya upinzani wakifanya mikutano ya hadhara majukwaani? Wakina Lissu na lema wangarejea vipi nchini na kupitia mpaka upi wakati walikuwa wamekimbia? Ungeona wapi wafungwa wenye kesi zenye mlengo wa kisiasa wakifunguliwa na kuachiwa huru baada ya kesi zao kufutwa? Ungeona wapi watu wakizungumza bila kikomo kutoa maoni yao pasipo shida? Ungeona wapi watu wakutukana hadi matusi na bado wakiwa huru na kuendelea kutamba nchini?

Nilishakwambia kuwa wewe huna akili kabisa.
 
Huu ni ukweli, shida tuko tiyali?
 
We unasiweza sifia hadi kinyesi, huna akili
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi mpa Samia kura ya ndiyo.
Uwe na adabu kwa Rais hata kama kichwa chako kimezidiwa na bangi kichwani. Nenda kafanye kazi hovyo halafu uone kitakachokukuta. Ndio maana unaona kuna wakuu wa wilaya ,mikoa ,na DED na viongozi mb wakiondolewa kwenye nafasi zao wakishindwa kutimiza majukumu yao.
 
Mafi yako
 
Wewe kwa akili yako ikivyo ndogo,unafikiri wqliomfikisha hapo,walikuwa na akili kama zako,zisizofanyakazi vizuri.Huwezi kufikia uongozi wa juu,popote duniani,bila walio juu yako,ambao wameshapitia ngazi hizo,na wao kuona unafaa.Wewe mleta mada hata mwenyekiti wa ukoo,hukuupata,kwasababu walio juu yako,wameshaona akili zako,hazina mashiko.
 
Ni vile ana machawa kila kona watu wa kumsifia hasa jamii forum ila ukweli hata mAchawa wenyewe wanajua hakuna kitu....... basi tu ni kazi za kuteuliwa zinawalevyaa ......ila wakikaa alone wajua HAKUNA KITU
 
Nani anauweza?
 
Huyu asikusumbue kichwa,yeye hata uenyekiti wa ukoo,hajapewa na ukoo wao.Halafu anakuja mkosoa,aliyeshika nafasi mbali mbali za kitaifa.Ni sawa na mwanamke,ambaye hajawahi kujifungua mtoto,halafu amuone aliyewahi kujifungua mtoto,na kumkosoa,kwa huko kujifungua mtoto.
 
Hakuna serikali isiyoua Duniani,ata kwa Samia ukijicganganya TISS wanakumaliza asubuhi tu!
Tanzania hakuna Rais ambaye hajawai kuua wapinzani wake!
Sio kwa kiwango Cha dhalimu magu.
 

..mwenye akili sifuri ni yule anayeamini maandamano sio haki ya kikatiba, bali ni hisani ya Samia Suluhu.
 
🚮
 
MIMI SIYO CCM WALA SIYO CHADEMA ,LAKINI SAMIA ANAONGOZA NCHI VIZURI MNO ,NA JAMBO LA KIPEKEE NI RAISI ANAYE SIKILIZA NA ANAYEELEWA CHA KUFANYA
 
World bank... GDP 4%
 
Yaani huyu ni bomu Tena la kienyeji
 
Kwa nchi hii hata angeshuka Malaika kuiongoza ataambiwa hajui urais! Ni nchi ambayo watu wake tuko walalamikaji mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…