Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maandamano mliyafanya kabla yake?
Hakuna kitu kama hicho, hakuna MUNGU wa kuruhusu CCM itese watu wake namna hiiNdo maana nikajiuliza.
Hivi kweli Kila mamlaka inatoja Mbinguni Kwa Mungu kweli??.
Kwa nini Secret societies wanaweza kumuweka Rais Madarakani ??.
Ukweli ni Kua, SSY kapwaya kapwaya Kapwayika .. nadhan Rais yoyote atakayeendelea Kufuata baada ya HAYATI JPM kama hatosimama kuuvaa U-JPM tutaendelea kushuduia hayo juu uloyaorodhesha .
Africa inahitaji mifumo imara siyo watu imara .alitegemea uimara wake badala ya mifumo . Kadondoka mzena puuuu.Mara kwa mara mwenyewe mama amesisiti!za anapenda kukosolewa ili aone mapungufu sio muda wote kumsifu kama wafanyavyo wadudu wa nguoni
1.Ujambazi umerudi kwa kasi sana
2.Uvivu ,uzembe na kutowajibika kumerudi makazini
3.Watumishi kutokuwepo vituo vya kazi muda wa kazi
4.Wasio na vyeti kuajiriwa kwa vimemo
5.Machawa kupewa shughuli za kitaalamu kwa mtindo wa kupiga mafungu
6.Rushwa mahakamani
7.Rushwa polisi
8.Mahospitalini
9.Walimu kujeruhi na kuuwa wanafunzi sijui tuwaamini kina nani!
10.wateule kushindwa kutatua kero za wananchi
11.watakatishaji fedha wameota upya
12.Mchwa wamenawiri halimashauri zote
nchini!
13.Mawaziri kukosa weledi wa majukumu yao.
14.Watoto wadogo kujinyonga
15.Familia kuuwana !
Mama huwa anapenda vitu kama hivi huw hapendi sifa ya vitu ambavyo tayari ameshafanya!
MUngu alifanya kazi yake huwa haina makosa hata wewe hawatoweza kukufua unao wakera!Africa inahitaji mifumo imara siyo watu imara .alitegemea uimara wake badala ya mifumo . Kadondoka mzena puuuu.
Mliokerwa mkamfufue
Chadema imekwisha jifia!Tunachoshukuru ni kutoitaja Chadema
Sasa kila siku mnalitaja hilo dubwash lililo uwa na kutesa watu plus kubambikia watu kesi za kijinga? Usichokijua wewe ni kwamba hayo uliyoyaandika hayajawahi kuisha. Kama jitu lilibinya uhuru wa habari ulitegemea watu wapate wapi habarMUngu alifanya kazi yake huwa haina makosa hata wewe hawatoweza kukufua unao wakera!
Ujambazi wa mabenki ulikufa askari walifikia kunyang'wanya silaha ilikua too much!Sasa kila siku mnalitaja hilo dubwash lililo uwa na kutesa watu plus kubambikia watu kesi za kijinga? Usichokijua wewe ni kwamba hayo uliyoyaandika hayajawahi kuisha. Kama jitu lilibinya uhuru wa habari ulitegemea watu wapate wapi habar
Sahihi kabisaAfrica inahitaji mifumo imara siyo watu imara .alitegemea uimara wake badala ya mifumo . Kadondoka mzena puuuu.
Mliokerwa mkamfufue