Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini utakuta hao hao ndiyo wanaichagua CCM Kwa 100%Chai yenyewe wanayokunywa wengi wao ni ya rangi, sio hata ya maziwa.
Chagua ccm kwa maendeleo yakoNa tusiokula mikate kabisa twende na nani.
Nishapiga mihogo yangu ya jero na kandoro maisha yanaendelea.
Chagua CCM kwa maendeleo ya wateule wa CCM.Chagua ccm kwa maendeleo yako
Ccm mbereee kwa mbeeeeeeee, au nadanganya ndugu zangu?Wale usiende mbali, nenda njia ya Banana tu kuelekea Kitunda ukaona show, kuna mahandaki kama sio nyuma tu ya Airport.
CCM OYEEEEEEEEEEEEE
Nasikia na barabara zenu zote zimepigwa lami na maji yanamwagikaKama kijijini kwetu, huwaambii chochote wakakusikiliza likija suala la chama kikongwe
Hahahahaa.Nasikia na barabara zenu zote zimepigwa lami na maji yanamwagika
Lawama zielekezwe kwa CCM, wanapeana vyeo na madaaraka kishikaji, wameyaweka majeshi yote mfukoni, demokrasia wameiweka mfukoni, Mahakama na bunge vipo Chini yao,Mkoa wa Tabora, singida, mara , Njombe ,Tanga Kuna watu wanaishi nyumba za tope na nyasi hadi leo .
Watanganyika tumebaki tukisema
1. Yanga na simba
2. CCM na Chadema
3. Mristo na mwiislam
Ila vyote hivi vitatu haviendani na technolojia Wala kizazi kijacho.
Next generation itaishi Kwa shida sana
Samia reforms are aimed at turnishing Mwendazake 's legacy.Walinda Ligacy mnahangaika sana.Tanzania 2025 elections: Why Magufuli legacy persists despite Samia's political reforms.
Source: The East African Online Newspaper
Hakuna Gazeti ambalo GENTAMYCINE naliheshimu kwa Uweledi wake uliotukuka kama la The East African kwani lina si tu Waandishi Nguli na Wabobezi bali pia lina Waandishi ambao ni very Intelligent na hawakurupuki kuja na Taarifa zao ambazo zimefanyiwa kila aina ya Utafiti na Uhakiki ndiyo maana zikawekwa kwa Sisi Walaji Werevu tuzisome.
Rais Samia nitaanza Kumpima na Kumuelewa kama akipita tena 2025 ila kwa sasa najua anatambaa na Chaki kwa Kufuata na kuyafanyia Kazi yale yote ambaye aliyekuwa Boss wake Hayati Magufuli aliyaandaa na mengine kuanza Kuyatekleza hivyo tusidanganyane kuwa kuna alilofanya Yeye kama Yeye.
Rest In Peace Mwamba na Mthubutu wa Kweli katika Maamuzi na Mtu ambaye hukuwa Mnafiki na Muoga Late John Pombe Magufuli ( JPM )
Una PhD na Upumbavu dunia nzima.Samia reforms are aimed at turnishing Mwendazake 's legacy.Walinda Ligacy mnahangaika sana.
Tanzania 2025 elections: Why Magufuli legacy persists despite Samia's political reforms.
Source: The East African Online Newspaper
Hakuna Gazeti ambalo GENTAMYCINE naliheshimu kwa Uweledi wake uliotukuka kama la The East African kwani lina si tu Waandishi Nguli na Wabobezi bali pia lina Waandishi ambao ni very Intelligent na hawakurupuki kuja na Taarifa zao ambazo zimefanyiwa kila aina ya Utafiti na Uhakiki ndiyo maana zikawekwa kwa Sisi Walaji Werevu tuzisome.
Rais Samia nitaanza Kumpima na Kumuelewa kama akipita tena 2025 ila kwa sasa najua anatambaa na Chaki kwa Kufuata na kuyafanyia Kazi yale yote ambaye aliyekuwa Boss wake Hayati Magufuli aliyaandaa na mengine kuanza Kuyatekleza hivyo tusidanganyane kuwa kuna alilofanya Yeye kama Yeye.
Rest In Peace Mwamba na Mthubutu wa Kweli katika Maamuzi na Mtu ambaye hukuwa Mnafiki na Muoga Late John Pombe Magufuli ( JPM )
Ameshajibadilisha na kuwa Amphibian...mpaka yafanyike mambo ya Gen Z ndiyo atasikiaUtawala ni watu ,mamlaka ni majeshi ! Kibali Cha mungu ni sauti ya watu ! Rais wangu wateule wako ni WA kwako sio wa kwetu ! Usipime Imani yetu kupitia wateule wako ! Wateule wako wapo ili wakufurahishe wewe ni sio kutuhudumia sisi hili unalijua? Aliyeshiba hamjui mwenye njaa! Juzi wametutangazia nafasi za kazi kwa mbwembwe ! Kwamba wewe umeidhinisha waajiriwe waalimu 12000!! Na wauguzi kadhaa wa kadhaa ! Tulijua shule zitafungua na waalimu wapya watakuwa kazini na tulidhani upungufu wa waalimu unaenda kutatuliwa mara Moja ! Kinyume chake shule zimefunguliwa Kila mtu yupo kimya ! Hakuna ajira kwa waalimu Wala wauguzi ! Vijana wetu waliposikia mbwembwe za waziri wa tamisemi walianza kumeza mate ya matumaini lakini wameanza kupaliwa kwa ukimya wa wizara ya elimu pamoja na tamisemi !! Ninini ambacho kilifanya mtangaze ajira ambazo Bado hazijawa tayari ? Rais wangu watanzania huku vijiweni wanaongea vitu tofauti na unavyoambiwa na wateule wako !huku mtaani Hali ni ngumu !! Narudia Tena hali ni ngumu !! Weka utaratibu wa kutusikiliza sio Kila kitu kipitie kwa wateule wako wanakudanganya !!
umeskizwa hata kwa hili bandiko lako tu 🐒Utawala ni watu ,mamlaka ni majeshi ! Kibali Cha mungu ni sauti ya watu ! Rais wangu wateule wako ni WA kwako sio wa kwetu ! Usipime Imani yetu kupitia wateule wako ! Wateule wako wapo ili wakufurahishe wewe ni sio kutuhudumia sisi hili unalijua? Aliyeshiba hamjui mwenye njaa! Juzi wametutangazia nafasi za kazi kwa mbwembwe ! Kwamba wewe umeidhinisha waajiriwe waalimu 12000!! Na wauguzi kadhaa wa kadhaa ! Tulijua shule zitafungua na waalimu wapya watakuwa kazini na tulidhani upungufu wa waalimu unaenda kutatuliwa mara Moja ! Kinyume chake shule zimefunguliwa Kila mtu yupo kimya ! Hakuna ajira kwa waalimu Wala wauguzi ! Vijana wetu waliposikia mbwembwe za waziri wa tamisemi walianza kumeza mate ya matumaini lakini wameanza kupaliwa kwa ukimya wa wizara ya elimu pamoja na tamisemi !! Ninini ambacho kilifanya mtangaze ajira ambazo Bado hazijawa tayari ? Rais wangu watanzania huku vijiweni wanaongea vitu tofauti na unavyoambiwa na wateule wako !huku mtaani Hali ni ngumu !! Narudia Tena hali ni ngumu !! Weka utaratibu wa kutusikiliza sio Kila kitu kipitie kwa wateule wako wanakudanganya !!