Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mwandishi wa habari anayemhoji naye ni hopeless,Hana takwimu,Wala yeye mwenyewe haoni madhara ya katiba iliyopo,kapewa majibu Sahihi.
Hizo ni nafasi wanazostahili akina Pascal Mayala!
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.

Ni Rais , ndo kusema hujui?
 
Mama akianzisha kikundi cha taarab ata hit sana kuliko Khadija Kopa
 
Asikwambie mtu ziara za nje muhimu mno! Uchumi unafunguka watu wananeemeka! Maji yanamwagika huko vijijini, Miradi inakwenda! Bei za vyakula na bidhaa mbalimbali zinashuka!

Yaani ziara tamu! Haswa ukikaa kwenye luxury seat za lile dude la Boeing 757, mezani kuna Asian sushi, sashimi na Mediterranean-inspired salads huku ukisindikiza na wine aina ya Domaine de la Romanee-Conti Grand Cru ya mwaka 1945, yaani madawati yanajileta yenyewe madarasani tunasahau habari ya watoto wetu kukaa chini!

Ziara za ndani wala hazina umuhimu, wizi wa mali ya umma na usimamizi mbovu wa miradi ya umma kwanza haupo siku hizi. Watumishi wamekuwa waadilifu hawaibi tena.Hata zile picha za kile kisima cha samaki kilichogharimu bilioni 2 si za kweli ni propaganda tu za wapingaji.

Kilombero Hoyee!
 
Ndio hivyo wewe ulitakaje? Kila kitu kina wakati wake
 
Back
Top Bottom