CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mabeyo alikosea sanaHuyu mama ana majibu ya dharau Sana. Ndio maana anaita Katiba kakijitabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeyo alikosea sanaHuyu mama ana majibu ya dharau Sana. Ndio maana anaita Katiba kakijitabu.
Nitamlaumu Mabeyo mpaka kesho. Alikuwa na wasaa wakufanya mambo akazubaa. Katuachia Rais mwenye kukopa mikopo yenye unyanyasaji.Mabeyo alikosea sana
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ni Rais , ndo kusema hujui?

Duuh mi simjuiNi Rais , ndo kusema hujui?
Mama akianzisha kikundi cha gaarab ata hit sana kuliko Khadija Kopa
very trueHuu ni ushahidi mwingine kwamba hana uwezo wa kuwa Rais.
Mfumo mbovu unamlinda, ndio maana rc wa dsm anaongea chochote kileHuyu mama ana majibu ya dharau Sana. Ndio maana anaita Katiba kakijitabu.
Ndio hivyo wewe ulitakaje? Kila kitu kina wakati wakeAsikwambie mtu ziara za nje muhimu mno! Uchumi unafunguka watu wananeemeka! Maji yanamwagika huko vijijini, Miradi inakwenda! Bei za vyakula na bidhaa mbalimbali zinashuka!
Yaani ziara tamu! Haswa ukikaa kwenye luxury seat za lile dude la Boeing 757, mezani kuna Asian sushi, sashimi na Mediterranean-inspired salads huku ukisindikiza na wine aina ya Domaine de la Romanee-Conti Grand Cru ya mwaka 1945, yaani madawati yanajileta yenyewe madarasani tunasahau habari ya watoto wetu kukaa chini!
Ziara za ndani wala hazina umuhimu, wizi wa mali ya umma na usimamizi mbovu wa miradi ya umma kwanza haupo siku hizi. Watumishi wamekuwa waadilifu hawaibi tena.Hata zile picha za kile kisima cha samaki kilichogharimu bilioni 2 si za kweli ni propaganda tu za wapingaji.
Kilombero Hoyee!
Wakati wa kula maisha na wakati wa kurudi kuomba waliokupa dhamana wakupe tena ukale maisha😄 nimekuelewaNdio hivyo wewe ulitakaje? Kila kitu kina wakati wake
Rais anapata wapi mda wa kula maisha? Wewe umewahi muona anakupa maisha?Wakati wa kula maisha na wakati wa kurudi kuomba waliokupa dhamana wakupe tena ukale maisha😄 nimekuelewa
Unauliza au unapigia jibu mstari?Rais anapata wapi mda wa kula maisha? Wewe umewahi muona anakupa maisha?
Nauliza,wewe umewahi kukuona Rais anakula maisha ?Unauliza au unapigia jibu mstari?