Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama alianza vizuri lakini anapoelekea ameingia uwoga unaomfanya awe dictator! Waingereza wanasema uoga hauleti ushauri mzuri! Anasema lile, anatenda tofauti kabisa! 4R hazimwongozi kabisa. Alichowatendea Chadema hakina tofauti na Magufuli aliyekataza mikutano. Nilikuwa namuona kama mtu atakeyebaki katika historia Tanzania kama mtu wa pekee lakini kwa sasa hata kura yangu sintompa!
 
Ttz Kwa CCM hawana shida na kura Yako mkuu maana wenzio walishakwambia hata Kwa goli la kisigino watashinda asubuhi tuu

Safari n ndefu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…