KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
kuna wapinzani wengi, early 2021, walikuwa wanashabikia sana awamu ya 6, kuwakejeli watu na kuwaita MATAGA. Naomba kuuliza je wanasikiaje sasa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni msukuleLucas Mwashambwa naye ni Mnafiki akiwa kama Mtanganyika mwenzetu kutokea Mbeya???😂😂😂
Lucas nasikia ni mtoto halali wa chura kiziwi.Lucas Mwashambwa naye ni Mnafiki akiwa kama Mtanganyika mwenzetu kutokea Mbeya???😂😂😂
Na makucha yake,Eehh KUMEKUCHA...
Hajafanyeje?Ajabu wasiompenda leo Samia ambae hajauwa, bali anawapunguza wamasai kwenye vitega uchumi cha taifa kutoka wamasai laki 8 hadi wamasai 100,000.
Na kuwapeleka ktk kijiji kilicho ndani ya mipaka ya jimbo la kaskazini kwa mfumo wa utawala wa majimbo wa chadema uko ndani ya mamlaka ya serikali ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
Sasa watu walewale waliokaa kimya wakati wa awamu ya tano uliokuwa na kidikteta muowaji wa watu wa kibiti, wakati wanachama wenyewe badala ya kuhamoshwa kama anavyofanya Samia eti leo munamchukia.
Nani wana haki ya kuchukia zaidi..
Talawa za mauwaji za wakatoliki
Au tawala za wanyenyekevu za waislam
We hate you too as you hate us.
And we will love too as you love us.
That is our philosophy.
Eyes for an eyes
Lisemwalo lipo.Rais Samia ,
Ukweli lazima usemwe watanzania walio wengi hatukupendi hata kidogo. Na pia wana CCM karibu asilimia 95% hatukupendi na wala hatutaki uendelee kugombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025.
Tatizo lako wewe umejaa kibrii na mbinafsi na honestly huna mapenzi ya dhati kabisa na watanganyika na huna uchungu na mali asili za watanganyika.
Ndani ya CCM kwenyewe huko ndani hawakupendi kabisa.....take it from me. Ndio maana unaitwa Chura kiziwi kwa sababu unajifanya masikio yako umeziba pamba.
Na ukitaka ujue kweli wana CCM wenzako hatukupendi tangaza rasmi kuwa hutogombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025 ili uone wanafiki walioko ndani ya CCM wanaosema mitano tena kwa mama Samia watakavyogeuza gia angani na kuanza kukusifia tena kwa kukupamba kwa media zote kuwa wewe ndio Rais na KIONGOZI bora usiye na tamaa na madaraka.
Watanganyika walioko kwenye cycle yako kwa sasa wanakula tu kuneemesha matumbo yao but deep from their hearts hawakupendi hata kidogo na wengine wanakuombea mabaya ikiwezekana hata kesho uondoke hapa duniaini. HUO NDIO UKWELI JAPO WEWE HUTAKI KUAMBIWA UKWELI HATA KIDOGO....... NDIO MAANA UNAITWA "CHURA KIZIWI".
Na mimi bila kupepesa macho Naungana na watanganyika wenzangu na wana CCM wenzangu kuwa HATUKUPENDI HATA KIDOGO.
Uondoke utuachie nchi yetu - Tanganyika yetu. And by your information hili suala la wamasai na kuuza ngorongoro kwa wajomba zako waarabu ndio limezidi kuwakasirisha zaidi watanganyika wote.
Samia , nakuita tena SAMIA HUPENDWI na watanganyika wengi na wana CCM wenzangu wote ...... HATUKUPENDI NA HATUKUHITAJI
Umeshatuharibia nchi yetu vya kutosha, now please go away kalee wajukuu tu
Kama Mwenyekiti wa CCM mkoa anasema huku kwenye maongezi ya kawaida kwamba Wana CCM wa mkoa wake hawamtaki,lakini mbele ya kamera anamsifia sana, basi nimeamini kuwa hapendwi na wengi sana hata hao wanaomwambia "mama unaupiga mwingi".
Wa Kyela mwenzangu ila kwa speed anayoenda soon ataitwa Cholo au Abui😃😃😃Lucas Mwashambwa naye ni Mnafiki akiwa kama Mtanganyika mwenzetu kutokea Mbeya???😂😂😂
hata msigwa mwenyewe hamtaki piaRais Samia ,