Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

kuna wapinzani wengi, early 2021, walikuwa wanashabikia sana awamu ya 6, kuwakejeli watu na kuwaita MATAGA. Naomba kuuliza je wanasikiaje sasa hivi?
 
Binafsi namkubali sana raisi Samia...

Ananisaidia kuufunua unafiki wa watanzania kila siku...

Namshauri kwasasa achukue roho ya 'ngariba' na kwamba akitaka apotee awasikilize watanzania...
 
Wazanzibar wamemashika pabaya sana Watanganyika.Siku zote mbio za sakafuni huishia ukingoni,ulisema msema wa wahenga.

CCM 2025 Wanakwenda na Mama.
 
pamoja na mapungufu yake mengi kama binadamu, lakini sina hakika na takwimu zako kama ni matokeo ya utafiti au ni hisia zako zilizochagizwa na uhuru wa kutoa maoni!
 
Kichwa cha habari WATANGANYANYIKA....

Baadae unatuingiza watanzania wengi...[emoji44][emoji44]

Wewe vipi ?!!

Tulikutuma utusemee?!!

Wewe ni MTANGANYIKA ila mimi ni mtanzania wa bara..jisemee nafsi yako usinisemee na mimi...

Hiyo tafiti umefanyia ikiwa na "merits " zipi ?!!

Uzwazwa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ajabu wasiompenda leo Samia ambae hajauwa, bali anawapunguza wamasai kwenye vitega uchumi cha taifa kutoka wamasai laki 8 hadi wamasai 100,000.

Na kuwapeleka ktk kijiji kilicho ndani ya mipaka ya jimbo la kaskazini kwa mfumo wa utawala wa majimbo wa chadema uko ndani ya mamlaka ya serikali ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Sasa watu walewale waliokaa kimya wakati wa awamu ya tano uliokuwa na kidikteta muowaji wa watu wa kibiti, wakati wanachama wenyewe badala ya kuhamoshwa kama anavyofanya Samia eti leo munamchukia.

Nani wana haki ya kuchukia zaidi..

Talawa za mauwaji za wakatoliki

Au tawala za wanyenyekevu za waislam

We hate you too as you hate us.

And we will love too as you love us.

That is our philosophy.

Eyes for an eyes
Hajafanyeje?

Unaushahidi?
 
Rais Samia ,
Ukweli lazima usemwe watanzania walio wengi hatukupendi hata kidogo. Na pia wana CCM karibu asilimia 95% hatukupendi na wala hatutaki uendelee kugombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025.

Tatizo lako wewe umejaa kibrii na mbinafsi na honestly huna mapenzi ya dhati kabisa na watanganyika na huna uchungu na mali asili za watanganyika.

Ndani ya CCM kwenyewe huko ndani hawakupendi kabisa.....take it from me. Ndio maana unaitwa Chura kiziwi kwa sababu unajifanya masikio yako umeziba pamba.

Na ukitaka ujue kweli wana CCM wenzako hatukupendi tangaza rasmi kuwa hutogombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025 ili uone wanafiki walioko ndani ya CCM wanaosema mitano tena kwa mama Samia watakavyogeuza gia angani na kuanza kukusifia tena kwa kukupamba kwa media zote kuwa wewe ndio Rais na KIONGOZI bora usiye na tamaa na madaraka.

Watanganyika walioko kwenye cycle yako kwa sasa wanakula tu kuneemesha matumbo yao but deep from their hearts hawakupendi hata kidogo na wengine wanakuombea mabaya ikiwezekana hata kesho uondoke hapa duniaini. HUO NDIO UKWELI JAPO WEWE HUTAKI KUAMBIWA UKWELI HATA KIDOGO....... NDIO MAANA UNAITWA "CHURA KIZIWI".

Na mimi bila kupepesa macho Naungana na watanganyika wenzangu na wana CCM wenzangu kuwa HATUKUPENDI HATA KIDOGO.

Uondoke utuachie nchi yetu - Tanganyika yetu. And by your information hili suala la wamasai na kuuza ngorongoro kwa wajomba zako waarabu ndio limezidi kuwakasirisha zaidi watanganyika wote.

Samia , nakuita tena SAMIA HUPENDWI na watanganyika wengi na wana CCM wenzangu wote ...... HATUKUPENDI NA HATUKUHITAJI

Umeshatuharibia nchi yetu vya kutosha, now please go away kalee wajukuu tu
Lisemwalo lipo.
 
Kama Mwenyekiti wa CCM mkoa anasema huku kwenye maongezi ya kawaida kwamba Wana CCM wa mkoa wake hawamtaki,lakini mbele ya kamera anamsifia sana, basi nimeamini kuwa hapendwi na wengi sana hata hao wanaomwambia "mama unaupiga mwingi".

Hata Akina Lukas hawampendi. Wanajibaragua tu wakiwa huku nje... Moyo unasema NO.
 
Hii issue ya Ngorongoro huyu mama alikosea sn na itamgharimu pakubwa ila bora tuongozwe na Chura Kiziwi kuliko yure Mbwa Kipara kutoua milima ya usambara !
 
Rais Samia ,
Ukweli lazima usemwe watanzania walio wengi hatukupendi hata kidogo. Na pia wana CCM karibu asilimia 95% hatukupendi na wala hatutaki uendelee kugombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025.

Tatizo lako wewe umejaa kibrii na mbinafsi na honestly huna mapenzi ya dhati kabisa na watanganyika na huna uchungu na mali asili za watanganyika.

Ndani ya CCM kwenyewe huko ndani hawakupendi kabisa.....take it from me. Ndio maana unaitwa Chura kiziwi kwa sababu unajifanya masikio yako umeziba pamba.

Na ukitaka ujue kweli wana CCM wenzako hatukupendi tangaza rasmi kuwa hutogombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025 ili uone wanafiki walioko ndani ya CCM wanaosema mitano tena kwa mama Samia watakavyogeuza gia angani na kuanza kukusifia tena kwa kukupamba kwa media zote kuwa wewe ndio Rais na KIONGOZI bora usiye na tamaa na madaraka.

Watanganyika walioko kwenye cycle yako kwa sasa wanakula tu kuneemesha matumbo yao but deep from their hearts hawakupendi hata kidogo na wengine wanakuombea mabaya ikiwezekana hata kesho uondoke hapa duniaini. HUO NDIO UKWELI JAPO WEWE HUTAKI KUAMBIWA UKWELI HATA KIDOGO....... NDIO MAANA UNAITWA "CHURA KIZIWI".

Na mimi bila kupepesa macho Naungana na watanganyika wenzangu na wana CCM wenzangu kuwa HATUKUPENDI HATA KIDOGO.

Uondoke utuachie nchi yetu - Tanganyika yetu. And by your information hili suala la wamasai na kuuza ngorongoro kwa wajomba zako waarabu ndio limezidi kuwakasirisha zaidi watanganyika wote.

Samia , nakuita tena SAMIA HUPENDWI na watanganyika wengi na wana CCM wenzangu wote ...... HATUKUPENDI NA HATUKUHITAJI

Umeshatuharibia nchi yetu vya kutosha, now please go away kalee wajukuu tu
hata msigwa mwenyewe hamtaki pia
 
Back
Top Bottom