Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

kuna wapinzani wengi, early 2021, walikuwa wanashabikia sana awamu ya 6, kuwakejeli watu na kuwaita MATAGA. Naomba kuuliza je wanasikiaje sasa hivi?
 
Binafsi namkubali sana raisi Samia...

Ananisaidia kuufunua unafiki wa watanzania kila siku...

Namshauri kwasasa achukue roho ya 'ngariba' na kwamba akitaka apotee awasikilize watanzania...
 
Wazanzibar wamemashika pabaya sana Watanganyika.Siku zote mbio za sakafuni huishia ukingoni,ulisema msema wa wahenga.

CCM 2025 Wanakwenda na Mama.
 
pamoja na mapungufu yake mengi kama binadamu, lakini sina hakika na takwimu zako kama ni matokeo ya utafiti au ni hisia zako zilizochagizwa na uhuru wa kutoa maoni!
 
Kichwa cha habari WATANGANYANYIKA....

Baadae unatuingiza watanzania wengi...[emoji44][emoji44]

Wewe vipi ?!!

Tulikutuma utusemee?!!

Wewe ni MTANGANYIKA ila mimi ni mtanzania wa bara..jisemee nafsi yako usinisemee na mimi...

Hiyo tafiti umefanyia ikiwa na "merits " zipi ?!!

Uzwazwa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hajafanyeje?

Unaushahidi?
 
Lisemwalo lipo.
 
Kama Mwenyekiti wa CCM mkoa anasema huku kwenye maongezi ya kawaida kwamba Wana CCM wa mkoa wake hawamtaki,lakini mbele ya kamera anamsifia sana, basi nimeamini kuwa hapendwi na wengi sana hata hao wanaomwambia "mama unaupiga mwingi".

Hata Akina Lukas hawampendi. Wanajibaragua tu wakiwa huku nje... Moyo unasema NO.
 
Hii issue ya Ngorongoro huyu mama alikosea sn na itamgharimu pakubwa ila bora tuongozwe na Chura Kiziwi kuliko yure Mbwa Kipara kutoua milima ya usambara !
 
hata msigwa mwenyewe hamtaki pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…