Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kumbe na wewe ni chawa..!?
Hii awamu ina lipi jipya?
Kama watu kupotea ni vile vile kama awamu iliyopita.

Kaja na igizo la 4R...utumbo mtupu.
Hangaya hana lolote, hata yeye anajua hilo.
 
Simple tuu,inatupeleka huku 👇👇

View: https://youtu.be/THGjrOHBn5Y?si=a99X0TvZnpdbK-3d
 
Kumbe na wewe ni chawa..!?
Hii awamu ina lipi jipya?
Kama watu kupotea ni vile vile kama awamu iliyopita.

Kaja na igizo la 4R...utumbo mtupu.
Hangaya hana lolote, hata yeye anajua hilo.
Kwako Ili iwe jipya ulitaka iwaje? Kwani 4R zisipokuwepo watu watalala njaa?
 
Mbona unaongea ramli zaidi kuliko uhalisia? Mwisho sio lazima mawazo Yako yakawa muelekeo wa Nchi so hata Ukiwa na mawazo haya haya hasi ni sawa kabisa so long as ni hisia ,makes no sense at all.
 
Serikali ya kike kamwe haiwezi kutuvusha, hii ni kote barani Afrika...mfumo unagoma kabisa, afadhali huko mbele kwa wenzetu!.
 
Tunapelekwa arabuni! Jangwani halafu wale waarabu watahamia kwetu! hapo vipi??
 
Ni bora utafute tu shughuli ya kufanya, maana kusubiria serikali ifanye kitu utapoteza muda na umri unaenda, maana Rais anakaa miaka 10 madarakani. 37+10=47 umeshazeeka tayari.
 
Serikali haijakosa mwelekeo. Rais Samia Suluhu Hassan anatupeleka katika nchi ya Ahadi. Unaweza usielewe juhudi zinazofanyika katika ujenzi wa shule "Kampeni ondoa ujinga", kukamilisha miradi ya kimkakati iliyoachwa na mtangulizi wake, Ruzuku kwenye Mbolea kwa wakulima (walala hoi), Mahusiano na nchi za nje N.K

Unasema "inawatia wasiwasi WENGI" Takwimu umezipata wapi za kutumia neno WENGI? Jiepushe kutumia maneno yenye viashiria za Takwimu wakati unazungumza kwa hisia tu.
 
Cha muhimu tufanye kazi vinginevyo kila Rais mpya ikulu atabebeshwa mzigo wa lawama. Tufanye kazi kwa bidii na kuwa wabunifu.

Mchina anakwenda bara lolote na ndani ya miezi michache keshakuwa sehemu ya wazalishaji wa eneo hilo, wanabebwa na elimu zao kuwapa misingi ya kuweza kuishi mahali popote.
 
Serikali ya kike kamwe haiwezi kutuvusha, hii ni kote barani Afrika...mfumo unagoma kabisa, afadhali huko mbele kwa wenzetu!.
Mawazo mfinyo. Hapa umemtusi mtu unayemuheshimu sana katika familia yako. Omba hao watu wa familia wasifanikiwe kuusoma ujumbe wako, vinginevyo laana itakupata.
 
huo udokta kautoa wapi? watu kama ww ni sufirii kichwani
 
Comments reserved
 
Inatupeleka kwenye uchumi wa kati.
 
Akili ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…