Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kumbe na wewe ni chawa..!?
Hii awamu ina lipi jipya?
Kama watu kupotea ni vile vile kama awamu iliyopita.

Kaja na igizo la 4R...utumbo mtupu.
Hangaya hana lolote, hata yeye anajua hilo.
Wa awamu ya 5 alikuwa anawapoteza Magufuli mwenyewe kwa kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda. Hawa wanaopotea sasa hivi ni matokeo tu ya jamii ya Kitanzania. Angalia majina ya waliopotea au kushambuliwa kama Lissu na Magufuli walikuwa na sababu za kisiasa.

Sasa hawa akina Sativa au huyo Soka wana kitu gani mpaka Samia akereke. Kuna mijitu inaongea kwenye majukwaa na kuandika kwenye mitandao kuliko hao mbona wapo huru kama Lissu mwenyewe, Mdude, Twaha Mwaipaya, Martin Maranja Masese, Boni Yai etc
 
Ila utekaji mmm..........je bado wanajiteka?
Kuna watu wana bifu zao kwenye biashara na mambo ya kutembea na wake za watu. Sema hao watu wanatumia miundombinu ya Polisi kuwakomoa wabaya wao. Mtu Sativa yeye kazi yake ni betting lakini alitembea na mke wa Polisi. Angalia hapa post yake ya Twitter tarehe 23/06 kabla hajakamatwa
Screenshot_20240903_152008_Chrome.jpg

Ni kwamba adui zake walimtaimu kabla hajawafanyia mbaya
 
Hebu nipe mpango wa serikali kujitegemea kimapato na kupunguza mikopo isiyo na tija?
Kwanza mikopo isiyo na Tija ndio inakuaje? Pili mipango yote ya mda mfupi(Bajeti) na mda mrefu (Dira) inalengo la kujiyegemea.

Mojawapo ya huo Mpango ni Kilimo , Serikali inalenga sekta ya Kilimo ichangie 10% ya GDP by 2030 .Kwa Sasa inachangia 5.2% kutoka 2.1% mwaka 2020/21.

Initiative kibao zinafanyika kufikia lengo Hilo, mojawapo ni hii hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-bMyNBtXbJ/?igsh=N2Q5a2JrcHk2bjJ2

Mwisho,kama hujui tafuta taarifa badala ya kuropoka.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-aegAdtYwo/?igsh=MWtjczd0bW0yNHBldg==
 
Wale tuliokua tunawaita nyumbu naona sasa ndo wako na mama. Maneno yao ya kejeli na ushabiki tu. Kinachonisikitisha hakuna chama cha upinzani serious ila kama kitakuja kuwepo ntakupigia kura za hasiraaaa
Tatizo ni jamii wala siyo wanasiasa, jamii ni mimi, wewe, yule na huyo nilie nae hapa kupokea chochote hata kama hakina tija kwenye jamii husika na kushindwa kubuni mbinu za kutatua matatizo yanayowazunguka yaani eti bora liende
 
Wewe mwenyewe hujui unako kwenda basi utapelekwa popote. Yaani unaisifia Awamu ya 5 iliyojaa dhuluma, ukatii, uuaji na kuanzisha miradi mikubwa bila kuwa na uhakika wa fedha. Halafu huoni kabisa namna Awamu ya 6 ilivyoleta utawala wa sheria, amani na kumalizia miradi mikubwa ya AWAMU ya 5? Kweli mpenda chongo huita kengeza
Lile jitu liliwaharibu sana mpk wakaliona kama LiamunguMtu vile
 
Wa awamu ya 5 alikuwa anawapoteza Magufuli mwenyewe kwa kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda. Hawa wanaopotea sasa hivi ni matokeo tu ya jamii ya Kitanzania. Angalia majina ya waliopotea au kushambuliwa kama Lissu na Magufuli walikuwa na sababu za kisiasa.

Sasa hawa akina Sativa au huyo Soka wana kitu gani mpaka Samia akereke. Kuna mijitu inaongea kwenye majukwaa na kuandika kwenye mitandao kuliko hao mbona wapo huru kama Lissu mwenyewe, Mdude, Twaha Mwaipaya, Martin Maranja Masese, Boni Yai etc
Kwani sasahv hao wanateka WaNAJULIKANA!? Kwann kipindi kile watu wakitekwa iwe ni Magufuli na sshv isiwe Samia!? Kwamba Samia hateki kwa sababu wanaotekwa ni akna Sativa,Soka etc ambao Kwake hawana madhara, tukisema anawapumbaza wajinga kama nyie tutakuwa tunakosea Akimteka Mbowe ama Mdude si moja kwa moja tutajua ni yeye sasa kwann asjiflame kwa hao madogo akna Sativa na Soka ili kuwatisha hao wakubwa!

Mlisema Magufuli alkuwa mtekaji leo hayupo mnageuza kibao Rais hawezi kuteka 😅 na mlituaminisha baada ya kifo cha Magufuli hautakuwepo utekaji tena bila kusahau utekaji ulkuwepo tangu enzi ya Jakaya na BM ,tukisema nyie ni Wasenge mkubali na msenge ni mtu anaeliwa nyuma.
 
Kwanza mikopo isiyo na Tija ndio inakuaje? Pili mipango yote ya mda mfupi(Bajeti) na mda mrefu (Dira) inalengo la kujiyegemea.

Mojawapo ya huo Mpango ni Kilimo , Serikali inalenga sekta ya Kilimo ichangie 10% ya GDP by 2030 .Kwa Sasa inachangia 5.2% kutoka 2.1% mwaka 2020/21.

Initiative kibao zinafanyika kufikia lengo Hilo, mojawapo ni hii hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-bMyNBtXbJ/?igsh=N2Q5a2JrcHk2bjJ2

Mwisho,kama hujui tafuta taarifa badala ya kuropoka.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-aegAdtYwo/?igsh=MWtjczd0bW0yNHBldg==

wakulima wanalima alafu Bei ya mazao unapanga wewe na unapanga wauze wapi?
Bado mnaendesha nchi kijima sana kama Wehu.

NFRA inanunua mahindi huku ikihujumu wakulima,kupima sijui kuchekecha.

Unakaa na mahindi why usitengeneze unga tukabaki na Pumba hapa kwaajili ya mifugo.Market chain hakuna kabisaa.Nchi ya Vipofu.
Tunagombana na wamasai badala ya kuwafundisha mbegu bora za kufuga wakaondoka na kukimbia na N’gombe wengiii.

Taifa bado linaagiza sukari, why viwanda visifunguliwe vingi.Hao wakulima wazalishe wakijua Soko lipo.Leo mkulima wa miwa analala na miwa season 2 bila kuvuna.
 
Kwani sasahv hao wanateka WaNAJULIKANA!? Kwann kipindi kile watu wakitekwa iwe ni Magufuli na sshv isiwe Samia!? Kwamba Samia hateki kwa sababu wanaotekwa ni akna Sativa,Soka etc ambao Kwake hawana madhara, tukisema anawapumbaza wajinga kama nyie tutakuwa tunakosea Akimteka Mbowe ama Mdude si moja kwa moja tutajua ni yeye sasa kwann asjiflame kwa hao madogo akna Sativa na Soka ili kuwatisha hao wakubwa!

Mlisema Magufuli alkuwa mtekaji leo hayupo mnageuza kibao Rais hawezi kuteka 😅 na mlituaminisha baada ya kifo cha Magufuli hautakuwepo utekaji tena bila kusahau utekaji ulkuwepo tangu enzi ya Jakaya na BM ,tukisema nyie ni Wasenge mkubali na msenge ni mtu anaeliwa nyuma.
Amteke Sativa au Soka ili apate impact gani? Au mnalitumia tu jina la Rais ili kumchafua tu!! Sativa ana deal na betting wala siyo mwanasiasa na hana kero yeyote kwa Rais
 
Kwanini Rais Samia kashidwa vita ya Rushwa ! Na "Uzalendo" wake!!?

Mnaosema Mama anaupiga mwingi kwenye hili mbona wajanja ndiyo wanatupiga mwingi!

Je tatizo ni mfumo na katiba. Tatizo ni Mahakama kuwa butu au kuongopana na kudekeza walaji ambao wengine ni ndugu wa vigogo.

1725386231020.png

1725386427107.png

1725386472884.png
 
Yeye mwenyewe ni hapo alipo ndiyo sura ya RUSHWA/FISADI yenyewe. Ujasiri huo autoe wapi....??

".......Na hilo mkaliangalie.....", ndivyo utamsikia akisema...

Ya Ngorongoro, pikipiki 700 kila mkoa zenye chapa ya "SAMIA2025" zilizom - cost zaidi ya 60B unafikiri alizitoa wapi...?

Hapa kina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah chiembe MamaSamia2025 hutawaona. Na ukiwaona wanatia pua zao kwenye mada kama hizi, sanasana wataishia kujiumauma tu.....!!
 
Alafu kwa sasa haya mapikipiki wanayapigisha boda sehem zingine
 
Yeye mwenyewe ni hapo alipo ndiyo sura ya RUSHWA/FISADI yenyewe. Ujasiri huo autoe wapi....??

".......Na hilo mkaliangalie.....", ndivyo utamsikia akisema...

Ya Ngorongoro, pikipiki 700 kila mkoa zenye chapa ya "SAMIA2025" zilizom - cost zaidi ya 60B unafikiri alizitoa wapi...?

Hapa kina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah chiembe MamaSamia2025 hutawaona. Na ukiwaona wanatia pua zao kwenye mada kama hizi, sanasana wataishia kujiumauma tu.....!!
Mama Samia kaongeza uwazi katika vita dhidi ya ufisadi, ndio maana unasikia unatajwa, JPM alikuwa wa hovyo, hakutaka watu waseme. Kwa sasa rushwa iliyosemwa waziwazi ni ya chadema, Lissu ameitolea taarifa kwamba chama chao ni cha wala rushwa
 
actually,
ni vyema umma ukalifahamu vizuri jambo hili muhimu kwa maslahi mapana ya Taifa...

Dhamira ya dhati na nia njema ya Rais na kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan ni kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi Kimataifa..,
Na sote tu-mashahidi kwenye mafanikio makubwa sana yaliyofikiwa mathalani kwenye demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora, uwazi serikalini na uwajibikaji wa viongozi wa umma kwa wananchi...
achilia mbali maendeleo katika huduma muhimu za kijamii na uchumi ...

Lakini pia ndani ya kipindi kifupi sana, mkuu wa nchi ya Tanzania amepaisha nchi na kuifanya kuaminika zaidi na hata kupewa fursa ya kuongoza Taasisi za Kimataifa kama vile kule IPU & WHO...

mshirikina na mwenye Imani potofu hawezi kuona haya yote kama ndio maendeleo na uelekeo wa Taifa, zaidi ya kuskia na kuhisi njaa na kuwaza ramli na kupiga myayo hovyo hovyo tu 🐒
 
Wa awamu ya 5 alikuwa anawapoteza Magufuli mwenyewe kwa kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda. Hawa wanaopotea sasa hivi ni matokeo tu ya jamii ya Kitanzania. Angalia majina ya waliopotea au kushambuliwa kama Lissu na Magufuli walikuwa na sababu za kisiasa.

Sasa hawa akina Sativa au huyo Soka wana kitu gani mpaka Samia akereke. Kuna mijitu inaongea kwenye majukwaa na kuandika kwenye mitandao kuliko hao mbona wapo huru kama Lissu mwenyewe, Mdude, Twaha Mwaipaya, Martin Maranja Masese, Boni Yai etc
Mpumba.vu sana wewe
 
Dhamira ya dhati na nia njema ya Rais na kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan ni kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi Kimataifa..,
Na sote tu-mashahidi kwenye mafanikio makubwa sana yaliyofikiwa mathalani kwenye demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora, uwazi serikalini na uwajibikaji wa viongozi wa umma kwa wananchi...
achilia mbali maendeleo katika huduma muhimu za kijamii na uchumi ...
I am pretty sure that, hata wewe mwenyewe huamini hata moja ktk haya👆....

Ni kwa kuwa mmeamua kuwa machawa na kwamba kumsifia mkubwa wenu, ni rahisi kupata uteuzi wa hata kulamba viatu vyake tu...!
Lakini pia ndani ya kipindi kifupi sana, mkuu wa nchi ya Tanzania amepaisha nchi na kuifanya kuaminika zaidi na hata kupewa fursa ya kuongoza Taasisi za Kimataifa kama vile kule IPU & WHO...
Mtu mmoja kuwa kiongozi wa IPU au WHO inampa unafuu gani Mwananchi wa huku Mwakaleli - Mbeya au Mwapalala - Bariadi - Simiyu ktk bei ya vyakula, nishati ya petrol, sukari au ugali kwa ujumla...?

Miaka mitatu iliyopita 2020 bei ya Petrol aliyoacha Mzee Magufuli ilikuwa wastani wa 2,000 Tanganyika nzima, Leo ni 3,600; Sukari ilikuwa 1,800 leo maeneo mengine mpaka 6,000...!

Hapa utasema taifa na nchi hii ina kiongozi Rais au kikaragosi cha picha ya mtu anaitwa Rais tu pale Ikulu..??
mshirikina na mwenye Imani potofu hawezi kuona haya yote kama ndio maendeleo na uelekeo wa Taifa, zaidi ya kuskia na kuhisi njaa na kuwaza ramli na kupiga myayo hovyo hovyo tu 🐒
Utaona nini katikati ya hali na ufukara wa kutisha, ukosefu wa madawa na huduma bora za afya ktk vituo vya afya na hospitali? Ukosefu wa maji safi na salama vijijini na mijini? Wanafunzi kukaa chini kwa kukosa madawati? Miradi mbalimbali utekelezaji wake kusuasua au kusimama kabisa...?

Katika mazingira haya, watakaoona zuri la serikali hii chini ya huyu bible Samia Suluhu Hassan ni wale tu wanakaa mezani naye na kuokoteza makombo ya masalia. Ndiyo ninyi kina Tlaatlaah na chawa wenzako...!!
 
Mama Samia kaongeza uwazi katika vita dhidi ya ufisadi, ndio maana unasikia unatajwa, JPM alikuwa wa hovyo, hakutaka watu waseme. Kwa sasa rushwa iliyosemwa waziwazi ni ya chadema, Lissu ameitolea taarifa kwamba chama chao ni cha wala rushwa
Aisee...

Chawa at work. Umesikika na umeeleweka hivyohivyo...
 
I am pretty sure that, hata wewe mwenyewe huamini hata moja ktk haya👆....

Ni kwa kuwa mmeamua kuwa machawa na kwamba kumsifia mkubwa wenu, ni rahisi kupata uteuzi wa hata kulamba viatu vyake tu...!

Mtu mmoja kuwa kiongozi wa IPU au WHO inampa unafuu gani Mwananchi wa huku Mwakaleli - Mbeya au Mwapalala - Bariadi - Simiyu ktk bei ya vyakula, nishati ya petrol, sukari au ugali kwa ujumla...?

Miaka mitatu iliyopita 2020 bei ya Petrol aliyoacha Mzee Magufuli ilikuwa wastani wa 2,000 Tanganyika nzima, Leo ni 3,600; Sukari ilikuwa 1,800 leo maeneo mengine mpaka 6,000...!

Hapa utasema taifa na nchi hii ina kiongozi Rais au kikaragosi cha picha ya mtu anaitwa Rais tu pale Ikulu..??

Utaona nini katikati ya hali na ufukara wa kutisha, ukosefu wa madawa na huduma bora za afya ktk vituo vya afya na hospitali? Ukosefu wa maji safi na salama vijijini na mijini? Wanafunzi kukaa chini kwa kukosa madawati? Miradi mbalimbali utekelezaji wake kusuasua au kusimama kabisa...?

Katika mazingira haya, watakaoona zuri la serikali hii chini ya huyu bible Samia Suluhu Hassan ni wale tu wanakaa mezani naye na kuokoteza makombo ya masalia. Ndiyo ninyi kina Tlaatlaah na chawa wenzako...!!
kwanza lazma uelewe kwamba mimi sihusiki na masula ya kishirikina na ramli kama ulivyo,

na nikuhakikishie kwamba Mimi namuamini Mungu peke yake.
Na kwa Neema na Baraka za Mungu kiongozi wetu wa Kitaifa Dr Samia Suluhu Hassan anatuongoza katika kuyafikia mengi sana miongoni mwa machache niliyoyataja hapo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote..

ni dhahiri unazo ngiliba nyingi mno moyoni umezihifadhi na huna mahali pakuzisemea, funguka gentleman upate walau relief kidogo maisha yasonge pia...

uko zigzag mno,
kama Taifa tuna uelekeo moja, hii ya kuchanganya sijui mwaka gani kulikua na nini hizo ni setbacks, kama Taifa tunasonga mbele...

hayo ya huko nyuma bakini nayoe, tupeni nafasi tunyooshe nchi mpaka huko bariadi kwenu tunakuja,

ila Acheni ushirikina 🐒
 
Back
Top Bottom