I am pretty sure that, hata wewe mwenyewe huamini hata moja ktk haya👆....
Ni kwa kuwa mmeamua kuwa machawa na kwamba kumsifia mkubwa wenu, ni rahisi kupata uteuzi wa hata kulamba viatu vyake tu...!
Mtu mmoja kuwa kiongozi wa IPU au WHO inampa unafuu gani Mwananchi wa huku Mwakaleli - Mbeya au Mwapalala - Bariadi - Simiyu ktk bei ya vyakula, nishati ya petrol, sukari au ugali kwa ujumla...?
Miaka mitatu iliyopita 2020 bei ya Petrol aliyoacha Mzee Magufuli ilikuwa wastani wa 2,000 Tanganyika nzima, Leo ni 3,600; Sukari ilikuwa 1,800 leo maeneo mengine mpaka 6,000...!
Hapa utasema taifa na nchi hii ina kiongozi Rais au kikaragosi cha picha ya mtu anaitwa Rais tu pale Ikulu..??
Utaona nini katikati ya hali na ufukara wa kutisha, ukosefu wa madawa na huduma bora za afya ktk vituo vya afya na hospitali? Ukosefu wa maji safi na salama vijijini na mijini? Wanafunzi kukaa chini kwa kukosa madawati? Miradi mbalimbali utekelezaji wake kusuasua au kusimama kabisa...?
Katika mazingira haya, watakaoona zuri la serikali hii chini ya huyu bible Samia Suluhu Hassan ni wale tu wanakaa mezani naye na kuokoteza makombo ya masalia. Ndiyo ninyi kina
Tlaatlaah na chawa wenzako...!!