1. Ujenzi wa miundo mbinu Kwa ajili ya maendeleo ya taifa,mfano miundo mbinu ya usafiri,maji NK.huku niliko Kuna mradi mkubwa wa maji ambao utakuwa msaada mkubwa sana Kwa wananchi ambao hapo awali walikuwa wakisumbuka na kupoteza Muda kufuata maji umbali mrefu.
2.Kuimarika Kwa utawala wa sheria tofauti na hapo nyuma ,siku hizi ukiona mtu kakosea anawajibishwa papo Kwa hapo.
3.Masrahi Bora Kwa watumishi wa umma ambapo hapo awali hawakuwahi kuyapata jambo ambalo lilipelekea watumishi wa umma kupoteza morali ya kazi ,lakini toka mama aingie watumishi wa umma wamekuwa wakipata masrahi Yao Kwa wakati.
Ni mazuri mengi sana tukisema tuyataje hapa naweza tumia miaka mitano japo yeye mama kayafanya Kwa miaka mitatu tu.
Mikumi tena Kwa mama Samia