Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Adui mkubwa wa Tanganyika ni huu moto unaokimbizwa kila mwaka. Kinachoitwa mwenge wa uhuru ni kifungo kikubwa sana kwa taifa letu kwenye ulimwengu wa kiroho. Tunaabudiswa maagano machafu ya miungu na wengi hawajui hili! Viongozi wa kiroho amkeni. Tutaangamia wote na siku ya hukumu ya Mungu inazidi kukaribia.
 
Tumia akili Yako vizuri
 
Ila utekaji mmm..........je bado wanajiteka?
 
Yaan awamu ya 5 iliboresha elimu kupita awamu ya 4. ? Uko sawa kweli. Au una mihemko. Awamu ambayo imemnyima mtumishi masilahi yake(mwalimu na daktari) afu eti iloboreshwa zaidi ya kuborongwa. Hakuna awamu ya hovyo kama ya 5.
 
Unataka tuache Matamasha ya Kizimkazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…