Anaweza hayaKama Raisi Samia anashidwa kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa! Je anaweza nini hasa?
Magufuli tulilalamika sana kuhusu demokrasia lakini kuna mengine mengi mazuri alifanya ikiwa pamoja na rushwa kupungua. Huyu Mama kama anashidwa serikali za mitaa kama mtangulizi wake ameweza kipi hasa! maana alipata credit za majadiliano mwanzoni sasa haeleweki tamaa imemuingia
Afadhali 🐼Ngoja nikae kimya
Uchaguzi Mkuu mwakani ndio kabisaa uchafuzi utakuwa zaidi.Kama Raisi Samia anashidwa kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa! Je anaweza nini hasa?
Magufuli tulilalamika sana kuhusu demokrasia lakini kuna mengine mengi mazuri alifanya ikiwa pamoja na rushwa kupungua. Huyu Mama kama anashidwa serikali za mitaa kama mtangulizi wake ameweza kipi hasa! maana alipata credit za majadiliano mwanzoni sasa haeleweki tamaa imemuingia
4 Rs ni UTAPELI wa kuomba mikopo Kwa Wazungu..alisema analeta 4R.
..sasa hiki kinachoendelea ni 4R?
Mtangulizi wake yeye aliweza uchaguzi wa serikali za mtaa?Kama Raisi Samia anashidwa kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa! Je anaweza nini hasa?
Magufuli tulilalamika sana kuhusu demokrasia lakini kuna mengine mengi mazuri alifanya ikiwa pamoja na rushwa kupungua. Huyu Mama kama anashidwa serikali za mitaa kama mtangulizi wake ameweza kipi hasa! maana alipata credit za majadiliano mwanzoni sasa haeleweki tamaa imemuingia
Yaani yule naye alikuwa janga kwenye demokrasia lakini alikomesha uvivu na rushwa. Huyu Mama ni totally zeroMtangulizi wake yeye aliweza uchaguzi wa serikali za mtaa?
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.