technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Samia hasimami na wapiga kura kwa vile wameshajiwekea mfumo ambao sanduku la kura siyo linaloamua nani awe kiongozi. Mfumo huu uliasisiwa 2019 na 2020 na sasa tunaona unaendelezwa tena kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ikiashiria kuwa hata 2025 utatumika tena. Tusitegemee tena kuona Serikali ambayo itawajibika kwa wapiga kura katika Taifa letu.Samia shida yake kubwa anakosa Ile ruling power
Hana ushawishi wa kimamlaka
Rais lazima uchuje kila unachoambiwa sio kila ushauri ni ushauri mzuri
Unatakiwa uwe unpredictable ushauri mwingine unapiga chini
Pia Rais Bora ni yule anayesimama na wanachi hasa wa chini maana hao ndio wapiga kura
Mafisadi uwa hayapigi kura
Rais amefeli hapo amekumbatia kundi la wanyonyaji na kuuacha umma!!!
Nadhani kishachagua upande wa kupiga pesa. Pale Kizimkazi kila kitu kinajengwa, kuanzia Suluhu Zoo mpk Suluhu Sports Academy.4. Hajui aangalie jinsi atakavyo acha historia yake au apige pesa na kujitajirisha
Huyo Mama Samia majuzi kasifiwa na Rais Ruto kwani kwa mara ya kwanza Tanzania imeizidi Kenya katika masuala mazima ya biashara tangu tupate uhuru miaka ya mwanzoni ya 60.Nimekuwa narudia rudia ujumbe ule ule tofauti. Kwa sasa Mama Samia kapaniki na hajui anahitaji kufanya nini na malengo yake sio yake aliyokuwa nayo 2021. Baada ya kulewa madaraka Mama Samia kachanganyikiwa
1. Hajui kama akomeshe rushwa au ajifanye hajui kwasababu wanufaika wakubwa ni ndugu na marafiki
2. Hajui akubaliane na demokrasia au kuendeleza uchafu wa chaguzi maana wanufaika wakubwa ni machawa wake.
3. Hajui akubali katiba kwa manufaa ya nchi lakini anajua hii ina imanisha CCM kupoteza viti vingi.
4. Hajui aangalie jinsi atakavyo acha historia yake au apige pesa na kujitajirisha
Kwa sababu hii nchi hii kwasasa inaendeshwa na hisia na Mama kaamka vipi leo, kesho na kesho kutwa. Kibaya Mama sio mtu wa kuamini ayasemayo mfano 4R. Tuombee sana hii nchi na Mungu awaondoe wote wala rushwa na atuletee haki na maendeleo nchini kwetu
Siyo kwamba Ruto anatafuta huruma za viongozi wenzake baada ya kunusurika kuondolewa madarakani na Genzies hivi majuzi?Huyo Mama Samia majuzi kasifiwa na Rais Ruto kwani kwa mara ya kwanza Tanzania imeizidi Kenya katika masuala mazima ya biashara tangu tupate uhuru miaka ya mwanzoni ya 60.
Sasa wewe unayelialia humu jukwaani na Rais Ruto nani mwenye uelewa mpana wa masuala ya kiuchumi?.
Huyo Mama Samia majuzi kasifiwa na Rais Ruto kwani kwa mara ya kwanza Tanzania imeizidi Kenya katika masuala mazima ya biashara tangu tupate uhuru miaka ya mwanzoni ya 60.
Sasa wewe unayelialia humu jukwaani na Rais Ruto nani mwenye uelewa mpana wa masuala ya kiuchumi?.
Anaifanya vizuri kazi aliyoapa kuifanya, haya malalamilo yetu mengi ni nongwa zetu huku mitaani.Kwahiyo kwani tume mchagua Raisi akauze mahindi!
Yule ni Rais mwenye taarifa kuliko mimi na wewe. Kitendo cha Rais Ruto kumsifia jirani kina ukweli mwingi ndani yake.Siyo kwamba Ruto anatafuta huruma za viongozi wenzake baada ya kunusurika kuondolewa madarakani na Genzies hivi majuzi?
Sidhani kama alikuwa kwenye utimamu na utulivu mzuri wa akili kiasi cha kutoa tathmini sahihi kuhusu suala zima la uchumi.
Kwa hiyo usimwamini sana. Alikuwa anafurahisha jukwaa tu, wala hata hana hoja ya msingi.
Au pengine Kenya imerudia ule mfumo wa zamani wa kujinufaisha Tanzania, ndiyo maana lazima wasifie ili waendeleze ukora wao?
Weee ooooooooooooolisikia wapi?
We kiazi kweli. Unawezamtumia Ruto kama yardstick? Hata akimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa!Huyo Mama Samia majuzi kasifiwa na Rais Ruto kwani kwa mara ya kwanza Tanzania imeizidi Kenya katika masuala mazima ya biashara tangu tupate uhuru miaka ya mwanzoni ya 60.
Sasa wewe unayelialia humu jukwaani na Rais Ruto nani mwenye uelewa mpana wa masuala ya kiuchumi?.
Viazi ni watu wa aina yako wasiojua kuwa rais wa nchi ana taarifa za ndani kabisa.We kiazi kweli. Unawezamtumia Ruto kama yardstick? Hata akimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa!