Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kwa mwenda zake hashindwi kituHear say ni kuwa waliokaidi maagizo ya mfalme walikula vitasa huko nyumba nyeupe.
Kile kirus covid kingeonekana ningekinunulia champagne, kimeweza yasiyowezekana.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kwa mwenda zake hashindwi kitu
Huyu ndiye fisadi papa na kiongozi wa genge la mumiani la 'msoga gang'10.Jakaya Mrisho Kikwete-Huyu ni miongoni mwa viongozi wakuu wa nchi walio sain mikataba mibovu katika taifa hili,ndiye aliyewaingiza mtegoni mawaziri wake wengi wakasain mikataba mibovu sababu iliyopelekea hata mahakama ya mafisadi kushindwa kufanya kazi kwasababu kila mtuhumiwa mwisho wa siku anasema maagizo alipewa na"boss" Ndie mwenyekiti wa wanamtandao,anaongoza makundi ya wakwepa kodi na biashara zake nyingi halipi kodi..
Hapo ndipo ukweli ulipoCCM ivunje Serikali yake au imuwajibishe Spika wa Bunge. Ni rahisi mno, CCM iwaelekeze Wabunge wake kupiga kura ya kutokua na imani na spika kwa kuichafua Serikali au kama Spika yuko sahihi CCM iwawajibishe Wanachama wake
Watu wema Mungu huwaondoa mapema Magufuli aliondoka akiwa anapendwa; unaenda lini MisungwiAsingechapisha kura za bandia saa hizi angekua anakula sato Chato na kupokea pension ya mstaafu.
Wangemfukuza uanachama...Ukiambiwa Walimshauri akakataa ushauri wao utasemaje?
Ili mifuko iwe na hela!! hiyo ni sawa tu.Mama atauza nchi mapema dalili zinaonekana kabisa
Upumbavu nao no mzigo,Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Upumbavu nao no mzigo,
Ulitaka ampinge ili amsuicide?
Ulishawahi ona mtu yeyote aliyempinga Magufuli akabaki salama?
Umeshawahi jiuliza kwanini watu wamemkubali Sana huyu Rais?
1. Mcha Mungu
2. Anakugusa kero za maisha yao
3. Imani ya matendo siyo ya mdomoni, kuwaaminisha watu kumtanguliza Mungu huku unapiga watu risasi
Tutamuongezea muda...Atake Asitake.
Iko kwenye makaratasi....... Ni kwa sababu haijaanza kutekelezwa (ANDIKO LA MRADI). Utekelezaji hufanywa hatua kwa hatua kulingana na uwepo/upatikanaji wa fedha na kuimarika kwa uchumi ikiwa ni pamoja ya mpangilio wa vipaumbele.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani...
Acheni unafiki nyie Chato! Sasa kukamatwa kwa waandishi wa habari Rais anahusikaje hapo? Kigogo2014 anawalisha matakataka!Watanzania wengi akili zao ndogo hata magufuli alianza hiv na alipendwa baadae wanajua wenyewe samia ni mfumo utakaomfanya arudi kwa magufuli hawez kucheza nje zile bit kilio kipo karibu jana waandishi wamekamatwa huko ilala unategemea shetan atakuwa malaika? Haipo hiyo samia atakuwa timamu kama atakuwa nje ya ccm na katiba inayomlinda
Kaka, hata nyumbani kwako huwezi badiri Kila kitu kwa wakati mmoja.Watanzania wengi akili zao ndogo hata magufuli alianza hiv na alipendwa baadae wanajua wenyewe samia ni mfumo utakaomfanya arudi kwa magufuli hawez kucheza nje zile bit kilio kipo karibu jana waandishi wamekamatwa huko ilala unategemea shetan atakuwa malaika? Haipo hiyo samia atakuwa timamu kama atakuwa nje ya ccm na katiba inayomlinda