Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ndugu yangu ni mapema mno kuweza kumuhukumu Raisi aliyekuwepo madarakani kama anafaa au hafai. Kwa maoni yangu mama Samia anatosha kabisa kuwa mkuu wa nchi, kwanza mama Samia alikuwa makamo wa raisi hivyo ni tosha kuwa uraisi kwake si kitu cha kujaribu kwani amekuwa makamo wa raisi kwa miaka mitano ya mwanzo na sasa amekuwa raisi kamili. Mama Samia ni mstaarabu, muungwana na mwenye khofu na Mungu hivyo usidhani atakuwa anatoa maamuzi ya haraka haraka, hao wenye kugombana ndiyo hao watakaopatana kwani wana kamati zao za maadili hivyo wamalizane wenyewe, raisi ana mengi ya kufanya siyo huo ugomvi wa watendaji wa serikali.
 
Mfuateni Dikteta uchwara wenu kaburini Chato, hatutaki tena viongozi matahira kutuongoza.
 
Ulikiwa unafurahi jiwe anavyowa "trepu" watu anasoma meseji zao wakitukanana na kuwasikiliza wakimuita mshamba.
Rais wa nchi!!!
 
Baraza lote ni kanda ya ziwa,DPP,Jaji mkuu,IGP,CDF, MaDeD karibia wote,RC karibia wote, DC karibia wote, takukuru,TISS. Hao wote ukanda ule. Leo mnasema ataongoza Tz. Yetu macho
Kumbuka pia kuwa mama Samia ndiye mteuzi mkuu wa hao woote ulio wataja hapo juu.

Na tayari ashasema kuwa mtu akimzingua basi wanazinguana kwa nguvu zoote.

Kama ndiye mteuzi wao jua pia kuwa anaweza kuwatumbua muda wowote .
 
Ziara za nini?
Nyie mnaelewa kazi za Rais kweli???
Hao mawaziri, manaibu, makatibu wakuu,wakuregenzi, wakuu wa mikoa, wilaya, wana kazi gani kama mnataka kuona sura yake kila mahali??
Jiwe aliwazoesha vibaya sana.
Inasikitisha sana! Toka achaguliwe hajafanya ziara hata moja kwenye miradi mikubwa ya kimkakati

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hata Msukuma Kasheku
 
Kumbuka pia kuwa mama Samia ndiye mteuzi mkuu wa hao woote ulio wataja hapo juu.

Na tayari ashasema kuwa mtu akimzingua basi wanazinguana kwa nguvu zoote.

Kama ndiye mteuzi wao jua pia kuwa anaweza kuwatumbua muda wowote .
CDF anamuangaliaaaaaaa
 
Kwa hiyo unamkosoa Mungu aliye amua kwamba mja wake mmoja awe Mwendazake na mja wake mwingine awe rais?! Umechoka kupumua, umekua vere bored?!
 
Kuna watu walikua wanaifaidi keki ya taifa kinyume cha taratibu, hao watu sasa hivi wanaona hiyo nafasi haipo tena sasa wameanza kupiga kelele
 
Urais ni kiti kigum , Kama utajiona unajua kila kitu ,but ukitumia organ au ukirasimisha Mambo na ukabaki kuyasimamia ni kiti chepesi Sana na utalala usingizi mzuri, ila jifanye Kama mwendazake utakufa mapema na kukiacha KWA msongo wa mawazo, hasa ukiwa na ungonjwa wa moyo plus kacorona kidogo wafaaa, mh SSH, Hana Cha kumshinda Hata mie au wewe huna Cha kukushinda Kama kweli umepata nafasi hiyo
 
Na mtazidi kuteseka sana. Maana hata meko hakuna la maana kafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…